DKT.MAGUFULI AKABIDHIWA HATI YA USHINDI NAFASI YA URAIS
Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva akimkabidhi cheti cha ushindi wa uchaguzi mkuu wa 2015 Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, huku...
View ArticleTANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA
Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India...
View ArticleMVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAAFA IKIWEMO VIFO NA UWANJA WA...
Na George Binagi, Mwanza Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo na mbalimbali ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Jijini Mwanza, zimesababisha Uwanja wa ndege wa Jiji hili kufungwa kwa muda wa masaa matano...
View ArticleMABULA: "SIKUJA KUITENGUA TORATI"
Na George Binagi, MwanzaMbunge Mteule wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Stanslaus Shing’oma Mabula, amewahakikishia Machinga Jijini Mwanza kuwa wataendelea kufanya...
View ArticleSIKU YA MARUHANI NCHINI MAREKANI
Na SwahiliVilla Washinton D.CMwishoni mwa wiki ilikuwa ni "Siku ya Maruhani" nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama "Halloween" husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.Siku...
View ArticleMAMBO YALIVYOKUWA KWENYE HAFLA YA KUKABIDHIWA CHETI CHA URAIS DKT MAGUFULI NA...
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa...
View ArticleKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA...
Highness Kiwia akionyesha moja ya karatasi yenye makosa Na George Binagi , MwanzaAliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleONESHO LA SWAHILI FASHION WEEK LAZINDULIWA JIJINI DAR LEO
Mwanamitindo wa hapa nchini, Mustafa Hassanali kulia na Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, Godfrey Mngereza wakifungua pazia kuzindua Onesho la Swahili Fashion Week leo katika mkutano na...
View ArticleHAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT...
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya...
View ArticleSHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS MPYA DK. JOHN MAGUFULI ZAFANA JIJINI DAR
Rais Dk. John Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania, mbele ya Jaji Mkuu Othman Chande. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na kushoto ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete. PICHA ZOTE NA...
View ArticleBASATA, WASANII KUIJADILI SIKU YA MSANII LEO
IMETOLEWA NA KITENDO CHA HABARI NA MAWASILIANO, BASATABaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lei Ijumaa 06/11/2015 linatarajia kuyakutanisha mashirikisho na vyama vya wasanii nchini kwenye Ukumbi wa...
View ArticleTANZANIA YAPOKEA EURO MILIONI 158.5 KUTOKA UJERUMANI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akifurahia jambo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Kochanke (kushoto) wakati wa maandalizi ya...
View ArticleZIARA YA KUSHTUKIZA YA RAIS MAGUFULI WIZARA YA FEDHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Ofisi za Wizara ya Fedha leo Ijumaa tarehe 6 Novemba,...
View ArticleWASANII WATAKIWA KUCHANGAMKIA MAAZIMISHO YA SIKU YAO
National Arts Council BASATA 07/11/2015 WASANII WATAKIWA KUCHAGAMKIA MAAZIMISHO YA SIKU YAO Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku...
View ArticlePAPA WEMBA AWASILI DAR , LEO KUPAMBA TAMASHA LA KARIBU FESTIVAL MUSIC...
Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA)...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA WIZARA YA FEDHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile jana alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.Rais wa Jamhuri...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha...
View ArticleTNRF WAMTAKA MAGUFULI ADHIBITI UPOTEVU WA MALIASILI NCHINI
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi...
View Article