NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya...
View ArticleDAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YAKE UANGALIZI MKALI
Sehemu ya Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini Dar es Salaam ambako dawa za kulevya zimeteketezwa leo chini ya uangalizi mkali . Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzichoma moto...
View ArticleTUPIGE KURA, TUPOKEE MATOKEO KWA AMANI NA UTULIVU, KUNA MAISHA BAADA YA...
Bendera na ramani ya TanzaniaJUMAPILI ya Oktoba 25, 2015, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Uchaguzi ni...
View ArticleDAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI...
Sehemu ya Kinu cha Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini Dar es Salaam ambako dawa za kulevya zimeteketezwa jana chini ya uangalizi mkali . Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
View ArticleMTOTO HATUMWI DUKANI LEO . NI KATIKA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM JIJINI MWANZA.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Pichani) amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya shughuli ya kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu kitaifa kwa upande wa Chama hicho...
View ArticleMAGUFULI AFUNIKA JIJI LA DAR
UMATI wa wananchi uliofurika kwenye viwanja vya Jangwani leoRAIS Jakaya Kikwete akimtambulisha Dk Magufuli kwa wananchiRAIS Jakaya Kikwete akikumbatiana na Dk MagufuliNa Rashid Zahor RAIS wa Jamhuri...
View ArticleNDESAMBURO ASEMA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA mOSHI ,JAFARY MICHAEL NDIYE...
Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akimuombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA DAR WASIMAMISHA SHUGHULI KUPIGA KURA , WAJITOKEZA KWA WINGI
Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam.Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini...
View ArticleWANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA MAENEO MBALIMBALI YA KATA YA KIJITONYAMA...
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja...
View ArticleTUME YA UCHAGUZI YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS YA MAJIMBO MATATU
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS YA MAJIMBO MATATU.Na Lilian Lundo-MaelezoMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya...
View ArticleZEC: MAALIM SEIF ANAPASWA KUCHULIWA HATUA ZA KISHERIA KWA KUTANGAZA MATOKEO
div class="separator" style="clear: both; text-align: center;"> Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF)...
View ArticleTUME YATOA UFAFANUZI KUHUSU UCHELEWESHWAJI WA MATOKEO YA URAIS
Na Beatrice Lyimo-Maelezo27\10\2025Dar es salaam.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Damian Lubuva ametoa ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa matokeo ya awali ya ngazi Rais kutoka...
View ArticleSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA...
Stanslaus Shing'oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Oktoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM) BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA...
View ArticleMALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBOChama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo...
View ArticleLOWASSA AKATAA MATOKEO ATAKA UTANGAZAJI USITISHWE,ASEMA HAWATAKUBALI HAKI YAO...
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutoyakubali matokeo yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),kutokana na kukosa uhalisia wa...
View ArticleTHE AFRICA OLYMPIC QULIFY IN JOHANNESBURG
Monday 26th: second match for Tanzania Ladies, against Keny. Result is 5-0 for Kenya. The best match ever played from the Tanzania Ladies for determination and concentration. Although Kenya has high...
View ArticleCHADEMA YAWASILISHA BARUA YA KUPINGA MATOKEO YANAYOTANGAZWA NA TUME YA TAIFA...
Mgombea Mwenza wa urais wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akikabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa kwa Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es...
View ArticleNMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza...
View Article