BONDIA VICENT MBILINYI AMPIGIA MIKWALA DEO NJIKU KUPAMBANA DESEMBA 25
BONDIA VICENT MBILINYINa Mwandishi WetuBONDIA Vicent Mbilinyi amesaini mkataba wa kuzipiga na Deo Njiku wa Morogoro siku ya Desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri morogo wakisindikiza mpambano wa Fransic...
View ArticleMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI
Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili hii katika ukumbi wa frends corner manzese...
View ArticleKAMATI TAIFA STARS YATAMBULISHWA RASMI
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bwana Farough Baghozah leo hii amekutana na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena...
View ArticleKUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TAMWA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu (Octoba 19 hadi 22) juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa...
View ArticleDK. SHEIN AOMBA KURA DIMANI MKOA MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa...
View ArticleMDAU WETU SILLAH MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA
Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph) Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za...
View ArticleDK. MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI YAKE, KATOMA - GEITA VIJIJINI
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akielekea katika makaburi ya makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini huku akiwa...
View ArticleMASHINDANO YA MBIO ZA IGOMBE 'IGOMBE MARATHON ' YAFANA MJINI TABORA
Wanariadha wakianza mbio za Igombe marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini TaboraMgeni rasmi ,Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, bw.Suleiman Kumchaya(katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza...
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI 399 MAPYA KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...
View ArticleFAMILIA YA DK. MAGUFULI YASEMA WATANZANIA WAMEPATA KIONGOZI MCHAPA KAZI,...
Kiongozi wa familia hiyo, Albert Michael, alipozungumza na waandishi wa habari mjini Geita.--- Na Rashid Zahor, Geita.FAMILIA ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli imesema...
View ArticleMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein,...
View ArticleUGUNDUZI WA MAPEMA WA SARATANI YA MATITI UTAOKOA MAISHA YAKO
Suneeta Reddy, mkurugenzi wa hospitali za ApolloNa Mwandishi Wetu,Saratani inasemwa kuwa chanzo kikubwa cha pili kinachosababisha vifo ulimwenguni. Saratani ya matiti peke yake inaripotiwa kuwa ya pili...
View ArticleBONDIA LULU KAYAGE AZIDI KUJIFUA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnowa bondia Lulu Kayage wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa kugombania mkanda wa taifa desemba 25 na...
View ArticleDK. JOHN MAGUFULI AOMBA KURA KUPITIA SIMU
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo...
View ArticleTAARIFA YA CCM JUU YA KUFUNGA KAMPENI ZAKE KATIKA MIKOA MBALI MBALI
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni...
View ArticleJOYCE MSIRU ,MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji sa na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,Sharry Raymond akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wakati wa utamburisho wa Mkurugenzi mpya wa...
View ArticleZIFF 2016 FILM SUBMISSION IS NOW OPEN
ZIFF is excited to announce that the submission for films for the 2016 edition of ZIFF is now open. Festival Director Prof Martin Mhando has confirmed that despite the fears that the two major...
View ArticleMAMA SHUJAA WA CHAKULA BI. BAHATI MURIGA AHUDHURIA TAFRIJA UBALOZI WA...
Bi. Bahati Muriga alifika Ubalozi wa Tanzania, Washington DC kuhudhuria tafrija iliyoandaliwa na Oxfam America. Bi. Muriga aliongelea maisha yake katika Mkoa wa Mwanza alipokuwa anafanya kazi kama...
View Article