TAASISI YA FAIDIKA WAZINDUA HUDUMA MPYA YA ‘FAIDIKA NA SAMSUNG TABS' KWA...
Ofisa Mtendaji mpya wa Faidika, Bw. Mbuso Dlamini wa pilikutoka kushoto akiwa sambamba na Meneja matekeleo wa taasisi hiyo, Haruna Feruzi wakiwa wameshika moja ya Samsung galaxy tab ambazo watakuwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA NA WAJUKUU
Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka 65 ya kuzaliwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na miaka 55 ya kuzaliwa mdogo wake Yusufu Mrisho Kikwete jana jioni jijini Dar es salaam. Rais Kikwete na...
View ArticleBUZWAGI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI BORA WA MWAKA
Meneja wa Idara ya Maboresho ya Biashara wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Richard Ojendo wa kwanza kushoto akipokea tuzo ya heshima ya utumishi uliotukuka ya meneja wa mgodi, “General Manager Prestegious...
View ArticleLOWASA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO.
Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi,aliyejiengua hivi karibuni ,Kingunge Ngombalemwiru akisalimia wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa...
View ArticleLOWASSA AFUNIKA NYUMBANI KWEA SLAA
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Chopa inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward...
View ArticleGESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI
Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo...
View ArticleMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA...
Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude...
View ArticleTTCL WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KUWATEMBELEA WATEJA POPOTE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja...
View ArticleLAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5”
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji...
View ArticleBALOZI JUMA MWAPACHU ARUDISHA KADI YA TANU NA CCM
Pichani kushoto ni Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Sudi Odemba a kiza chambray kadi za Mwapachu leo katika ofisi ya Kata Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Balozi Juma Mwapachu akimkabidhi...
View ArticleTASNIA YA MIMI NDOA NCHINI TANZANIA KUFUNGA NA KATIKA UK SHE REHEMA AMANI NA...
Wabunifu nguli wa mtindo ya mavazi Martin Kadinda, Mustafa Hassanali, Kiki Zimbabwe wa kizu ngumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa King Solomon Jijini Dar es Salaam kuhusu Onyesho lao...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA DKT ABADALLAH...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika...
View ArticleUNICEF YAKABIDHI MAGARI KUMI YA KUBEBEA WAGONJWA MKOANI MBEYA
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Unicef Dkt Jama Gulaid akitoa hotuba katika sherehe ya makabidhiano ya magari ya kubebea wagonjwa Mkoa wa Mbeya15 Octobar 2015 Mratibu wa Huduma za Afya ya Uzazi...
View ArticleDK. JOHN MAGUFULI AENDESHA MKUTANO GOMBANI PEMBA, ZANZIBAR
Mgombe Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufulu akizumgumza na Wananchi na WanaCCM wa Kisiwani Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja...
View ArticleWAKAZI WA UKONGA NA VITONGOJI VYAKE WASEMA MAGUFULI ANAFAA KUWA RAIS WA TANZANIA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo, wakati wa mkutano wa kampeni eneo la...
View ArticleDK. MAGUFULI APOKELEWA KWA NDEREMO NA VIFIJO KISARAWE NA UKONGA WAKATI WA...
Wananchi wa Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.Dk Magufuli akimnadi...
View ArticleMKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA TANZANIA ZANZIBAR
Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuomba Dua Mkutano huo wa Baraza la Viongozi wa Vyama vya Siasa Tanzania uliovikutanisha Viongozi wa Vyama 22 vya Siasa Tamzania uliofanyika katika...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE CHUMBUNI AWATAKA KUJIANDAA NA MAENDELEO KATIKA JIMBO LAO...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Perera Ame Silima akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wa Kampeni wa jimbo hilon uliofanyika katika viwanja vya mpira Bamata Kwamtipura...
View ArticleBONDIA SEBA TEMA ASAINI KUZIPIGA NA PIUS KAZAULA DESEMBA 25 MOROGORO
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akimkabidhi mkataba bondia Seba Temba baada ya kutia saini ya makubaliano ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika desemba 25...
View Article