WAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI TANGA
Wafanyakazi wa Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika eneo la mapango ya Amboni (AMBANI CAVES ) kwa lengo la...
View ArticleMGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KIWANJA...
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa...
View ArticleMABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25...
Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D...
View ArticleMENEJA MPYA SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES TANZANIA ATAMBULISHWA
Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam jana. (Picha zote na...
View ArticleTAASISI YA MPYA YA KAMPENI YA KUPAMBANA NA SARATANI TASOI YAZINDULIWA JIJINI...
Katibu Mkuu wa TASOI, Belinda Mlingo akizungumza na waandhishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati endelevu wa kuendesha kampeni ya Mshikamano dhidi ya Saratani kwa kutumia...
View ArticleZETRIDA ZAO JIPYA KATIKA KUIMBA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA KIGOMA
Zetrida Ezekiel ni mwanamuziki mahiri wa muziki wa injili aishiye mkoani Kigoma, amekuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mwana kwaya wa kikundi maarufu na kikongwe cha nyimbo za injili cha...
View ArticleTIGO YATOA MCHANGO WA MADAWATI 700 KWA SHULE ZA UMMA MKOANI MBEYA
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye...
View ArticleWAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI USO KWA USO NA WAPIGA KURA WAO MUFINDI , WAULIZWA...
Ndg Patrick Lalika, akiuliza Swali kuhusu Mazingira hatarishi kwa Watoto katika mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi kutoka Shule za...
View ArticleINNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA...
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo.Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi,...
View ArticleTigo yatoa mchango wa madawati 700 kwa shule za umma mkoani Mbeya
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye...
View ArticleKAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA...
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw....
View ArticleWATANZANIA WAASWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI IMPERIAL...
Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakielekea kupandisha bendera ya Taifa wakati wakisherekea mwaka mmoja wa shule hiyo iliyopo Chalinze Msolwa mkoani Pwani.Wanafunzi wa...
View ArticleCAPELABY JOGGING WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Wanachama wa kikundi cha Capelaby Jogging wakiwa na watoto wa kituo cha watoto yatima cha Valentine Chiden Home kilichopo njia panda ya buza kitunda Dar es salaamMlezi wa kikundi cha Capelaby jogging...
View ArticleABDULMALIKI MOLLEL: WANAFUNZI WANAOSOMA NJE YA NCHI WANA UWIGO MKUBWA WA...
Na Mwandishi Wetu, Arusha.VITU vinavyofanya wanafunzi kwenda kusoma nje ya nchi ni kutokana kozi wanayoenda kusoma zina uwigo mkubwa wa ajira ambapo vyuo vya ndani havina kozi hizo.Akizungumza na...
View ArticleDKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA KILIMANJARO.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye...
View ArticleLOWASSA AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh....
View ArticleKENYA-TANZANIA BUSINESS FORUM ON OCTOBER 6, 2015 IN NAIROBI, KENYA IN PICTURES
Executive Director of Tanzania Investment Centre Ms. Juliet Kairuki welcomes the President of Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta to the Forum President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta...
View ArticleBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo...
View ArticleCONNECTMOJA TECHNOLOGIES LIMITED WAZINDUA MFUMO MPYA WA SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM
Kampuni ya Connectmoja Technologies inayoendesha shughuli zake hapa nchini Tanzania leo imezindua Mfumo madhubuti unaojulikana kwa jina la KSchool Management system.Akizungumza na wana habari,...
View Article