SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA HAHITIMU SHULE YA MSINGI SASA KWENDA...
SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILAKocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia bint yake sports lady Zainabu Mhamila 'Ikota' madaftal makubwa kwa ajili ya...
View ArticleBONDIA IBRAHIMU TAMBA KUPAMBANA NA BARAKA MWAKANSOPE WA MBEYA NOVEMBA 22 MANZESE
Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Tamba anapanda tena uringoni Novemba 22 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam kugombania mkanda wa ubingwa na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya kg...
View ArticleIJUE HOME TEAM FOOTBALL ACADEMY; KITUO KIPYA CHA UKUZAJI VIPAJI KWA VIJANA...
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .Baadhi ya wahadhiri...
View ArticleWASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA
Washiriki wa shindano la Bongo style kwa upande wa picha wakimsikiliza kwa makini mtaalam wao Sameer Kermalli(wa tatu kulia) akitoa maelekezo wakati wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kwa upande wa...
View ArticleMERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA
Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania.Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor, fridge,...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MFUMUKO WA BEI WA MWEZI OKTOBA, 2015
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi...
View ArticleVAZI LA KHANGA LAFANA KATIKA TAMASHA LA KITCHEN PARTY GALA
Jumapili iliyopita wanawake mbali mbali jijini Dar es salaam walikutana katika tamasha la kitchen Party Gala likiwa limebeba ujumbe wa mwanamke simama na timiza ndoto zako.Wanawake wakiwa wamevalia...
View ArticleSAFARI YA MISS TANZANIA KUELEKEA MASHINDANO YA UREMBO YA DUNIA. 2015.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMashindano ya urembo ya Dunia yatafanyika Sanya China katika ukumbi wa Beauty Crown Grand Theatre tarehe 19 Desemba 2015. Shindano lenye hadhi ya Kimataifa litajumuisha...
View ArticleNEC YAVISHUKURU VYOMBO VYA HABARI KWA COVERAGE NZURI YA UCHAGUZI MKUU 2015
Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari...
View ArticleJIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA
Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt,Samuel Razalo Na EmanuelMadafa,MbeyaHALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika kuhakikisha mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa...
View ArticleFAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI...
Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika...
View ArticleBONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI
Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT Wililo Lukelo akitoa salam za lambilambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael...
View Articlebondia vicent mbilinya atamba
VICENTI MBILINYINa Mwandishi Wetu BONDIA Vicent Mbilinyi ametamba kumsambalatisha Said tompoo wa bagamoyo wakati wa mpambano wao utakaofanyika novemba 22 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es...
View ArticleMABONDIA WA DAR WATAMBA KUWASAMBALATISHA WA MOROGORO
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Kaike Siraju katikati akimwinua mkono juu bondia Thomas Mashali wakati wa utambulisho wa mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa...
View ArticleWATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI,WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akisalimiana na wananchi alipofanya ziara katika hosptali teule ya Machame na kuzungumza na wafanyakaziMkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza na wafanyakazi...
View Article10 WATINGA KATIKA FAINALI ZA SHINDANO LA BONGO STYLE
Majaji kwa upande wa Ubunifu wa Mavazi na Picha wakiwa kazini Kutoka kushoto ni Iddy John , Sameer Kermalli na Angela Kilusungu ambao walikuwa majaji upande wa Picha, wanaofuata ni Comfort, Martin...
View ArticleJUMUIA YA UALAYA (EU) YAUPATIA UMOJA WA MATAIFA TANZANIA RUZUKU EURO 200,000...
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez pamoja na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Filiberto Ceriani...
View ArticleMABONDIA HAMISI MWAKINYO NA MESHACK MWANKEMWA KUPIGANA KESHO JUMAMOSI
Friday, November 13, 2015Bondia Hamisi Mwakinyo kushoto akitunishiana misuli na Meshach Mwankemwa baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na Kamisheni ya...
View Article