Friday, November 13, 2015
Bondia Hamisi Mwakinyo kushoto akitunishiana misuli na Meshach Mwankemwa baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania TPBC katikati ni promomota kutoka katika kampuni ya Golden boy Afrika Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NESW |
Bondia Hamisi Mwakinyo kushoto akitunishiana misuli na Meshach Mwankemwa baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania TPBC utakaofanyika kesho katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala katikati ni promomota kutoka katika kampuni ya Golden boy Afrika Shomari Kimbau akiwa na mkanda utakaogombaniwa Picha na SUPER D BOXING NESW |
Mabondia Hamis Mwakinyo na Meshack Mwankemwa wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa CCM Mwijuma mwananyamala Dar es salaam jumamosi Picha na SUPER D BOXING NESW |
Bondia Joyce Awino akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Asha Nzoa kushoto mpambano utakaofanyika kesho katika ukumbi wa CCM Mwijuma Dar es salaam kulia ni Rais wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa Picha na SUPER D BOXING NESW |
Bondia Asha Nzowa kushoto akitunishiana misuli na Joyce Awino baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho utakaofanyika katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NESW |
Promota Shomari Kimbau akiwainua mikono juu mabondia Asha Nzowa kushoto na Joyce Awino baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho |