WATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA UCHUM (ECONOMIC DIPLOMACY)
Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka,Nduwayo Mzonya,Hussein Melele,na Rashid Njenga wakiwasikiliza wachangaji mbalimbali katka kongamano hilo lijulikanalo Epowerment of Economic Diplomacy in...
View ArticleUZINDUZI WA USHIRIKA WA MAMA NA BABA LISHE KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM...
Mratibu na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya Ya Mama na Baba Lishe Mkoa wa Dar es Salaam, Said Said (wa pili toka kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO)...
View ArticleMHESHIMIWA ANNE MAKINDA KUTOGOMBEA USPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
Na Jacquiline Mrisho-MAELEZO-Dar es salaam. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anne Makinda ametangaza rasmi kutogombea nafasi ya Uspika wa Bunge baada ya kuliongoza Bunge la...
View ArticleWADAU WA AFYA MKOANI MBEYA WAKUTANA NA KUJADILIANA KUELEKEA SIKU YA...
Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya Ndugu Stellah Kategile akiwasilisha maada kwa wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Mbeya katika kikao cha kujadili juu ya kuelekea katika siku ya maadhimisho ya Ukimwi...
View ArticleMBILINYI ATAMBA KUENDELEZA UBABE JUMAPILI
Na Mwandishi Wetu BONDIA Vicent Mbilinyi ametamba kumsambalatisha Said tompoo wa bagamoyo wakati wa mpambano wao utakaofanyika novemba 22 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaambondia...
View ArticleMJUWE BONDIA LULU KAYAGE ANAETAMBA KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnowa bondia Lulu Kayage wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa kugombania mkanda wa taifa desemba 25 na...
View ArticleBONDIA MESHACK MWANKEMWA BINGWA MPYA WA KG 66 TPBC
Refarii wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Kondo Nassoro kulia akimnyoosha mkono juu bondia Meshack Mwankemwa baada ya kumnyuka bondia Hamisi mwakinyo katikati ni Promota wa ngumi za kulipwa Jay...
View ArticleMABONDIA WA MOROGORO WATAMBA KUWASAMBALATISHA WA DAR
Mabondia kutoka morogoro wakiwa katika pozi mara baada ya kuongea na wahandishi wa habari juu ya mpambano wao wa desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri morogoro kutoka kushoto ni Epson John atakaezipiga...
View ArticleJIJI LA MBEYA HATARI KUKUMBWA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Wafanyabiashara ndogo ndogo katika eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiendelea na shughuli zao kama kawaida .Na Mwandishi wetu,Mbeya Halmashauri ya jiji la Mbeya limewataka wafanyabiashara ndogondogo...
View Article“AFYA BORA INAANZA NA KIFUNGUA KINYWA BORA” WITO KUTOKA HOSPITALI YA ZA...
Dk. Bhuvaneshwari Shankar, Mkuu wa idara ya lishe kutoka hospitali za Apollo.Na Mwandishi Wetu,Kila mwaka tunaadhimisha siku ya kisukari duniani ili kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kisukari, matatizo...
View ArticleMASHINDANO YA UVUVI YA WAZI YAFANA SLIPWAY
Wasimamizi wa shindano la wazi la uvuvi la Slipway wakipima mmoja kati ya samaki walioshindanishwa kwenye shindano hilo lililodhaminiwa na Tigo janaSehemu ya muonekano ambapo mashabiki walikuwa...
View ArticleCHAMA CHA AFYA YA JAMII(TPHA) CHAWAOMBA WADAU KUTOA USHIRIKIANO ILI KUPAMBANA...
Dk. Adeline Kimambo (kulia) kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) akitoa muhtasari wa Madhara ya matumizi ya Tumbaku mbele ya waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa waliofika kujadili...
View ArticleMSAADA WA WASAMARIA WEMA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA DADA HUYU
Ndugu Wasamaria wemaNapenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu...
View ArticleRC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENZI
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo.Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleIDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA
Na Emanuel Madafa,MbeyaIDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014 ambapo ni sawa na asilimia 5.7.Hali hiyo...
View ArticleMKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI...
Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna...
View ArticleMAKONDA AWAFUNDA WAOKAJI KEKI NCHINI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa tatu kulia) na Mdau wa Keki, Mama Cynthia Henjewele (wa pili kushoto), wakikata keki maalumu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Watengeneza keki...
View ArticleDKT REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo mwishoni...
View ArticleWANAFUNZI WA VYUO KUFURAHIA HUDUMA YA KUPIGIANA SIMU BURE TOKA TIGO
Meneja Mauzo wa mkoa wa Tanga kutoka Tigo Bw.Daniel Mainoya akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali , kuhusu uzinduzi wa kifurushi kilichoboreshwa cha University Pack kutoka Tigo...
View Article