Quantcast
Channel: BONGOWEEKEND
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1907

RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA WIZARA YA FEDHA

$
0
0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile jana  alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.  Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo jana  jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha jana jijini Dar es salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1907

Trending Articles