MAKONDA, MALINZI KUPAMBA UZINDUZI AIRTEL RISING STARS KESHO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho Jumamosi Julai 30, 2016 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mashindano ya kuibua na kukuza vipaji vya mpira wa miguu kwenye Uwanja wa...
View ArticleMSIWE WACHOYO WA ELIMU WALLACE KARIA
Makamu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia amewaagiza waamuzi wenye Beji kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kadhalika waamuzi waandamizi waliohitimu kozi leo...
View ArticleKATIBU MKUU WA TFF ATOA SABABU ZA AIRTEL KUIBUA VIPAJI
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amesema kutimia kwa malengo ya Kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel imesukuma kampuni hiyo kuendelea kudhamini mashindano...
View ArticleWASHINDI WA PROMOSHENI YA JIJENGE NA TWIGA CEMENT WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Charles Chale mkazi wa Gongo la mboto (wa pili kutoka kushoto), akipongezwa na Meneja Ukuzaji Biashara wa Twiga Cement, jamal Yahya baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promosheni ya Jenga na Twiga...
View ArticleWASANII WAASWA KUZINGATIA MAADILI KATIKA KUTENGENEZA KAZI ZAO
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo wakati akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa studio...
View ArticleSIA PIUS NDIYE WINDHOEK DRAUGHT MISS SINZA 2016
Windhoek Draught Miss Sinza 2016, Sia Pius (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Catherine Listoni (kushoto) na mshindi wa tatu Hafsa Mahamood baada ya kutangazwa mshindi Hoteli...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKOSHWA NA DC IGUNGA
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akielezea changamoto za Stendi ya Mbasi ya abiria na Soko jipya zinazoikabiri wilaya hiyo wakati wa mkutano...
View ArticleBOHARI YATEKETEA KWA MOTO MAENEO YA SINZA LEO
Bohari likiwa linateketea kwa moto jioni hii Sinza LegoMmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akipanda juu ya Ghorofa baada ya kunusurika kudondokea katika moto huo Moto ukiendelea kuwaka...
View ArticleMPANGO WA KLINIKI WAWAFIKIA MWANZA
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mary Tesha, akimkabidhi Chandarua kwa mtoto Mwasiti Abdallah(miezi 9) aliyebebwa na Mama yake Geni Elias,kwenye uzinduzi wa kampeni ya kupambana na Malaria ujulikanaao kama...
View ArticleSERIKALI YAWASHUKURU WADAU WA MICHEZO KWA KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA...
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Alex Nkenyenge akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki kwa...
View ArticleJPM AMALIZA MGOGORO WA MAKAZI MAGOMENI KOTA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiongea na wakazi wa Magomeni Kota kuhusu kumalizika kwa mgogoro wa makazi leo Jijini Dar es Salaam .Kushoto ni Naibu Waziri...
View ArticleDC ILALA SOPHIA MJEMA AZINDUA UWANJA WA NETIBOLI NA KIKAPU SHULE YA SEKONDARI...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akifunga goli wakati wa uzinduzi wa uwanja wa Netiboli na Mpira wa Kikapu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani uliojengwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti,...
View ArticleWASANII WATU MAARUFU SASA KUVUNA PESA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Aggrey and Clifford, Rashid Tenga alielezea machache mbele ya wageni na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo juu ya huduma mpya ya matangazo katika bara la Afrika...
View ArticleDC WA ILALA MH SOPHIA MJEMA AKABIDHIWA MSAADA WA MADAWATI KWA WAFANYABIASHARA...
Muwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania,Gou Haodong akimkabidhi moja ya dawati kati ya 100 yaliyotolewa na Wafanyabiashara wa Karikoo wenye asili ya China ,kwa Mkuu wa Wa Wilaya ya Ilala,Mh...
View ArticleKITUO CHA TELEVISHENI CHA TV 1 KURUSHA MATANGAZO YA LIGI KUU SOKA YA...
Mkuu wa TV 1, Joseph Sayi (katikati),akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ,Kituo cha Televisheni cha TV1 Tanzania kuanza kurusha matangazo ya moja kwa moja ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WIZARA YA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MNH NA DR. MWAKA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangalla (kushoto) akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu wa Hospitali ya Taifa...
View ArticleJIJENGE NA TWIGA CEMENT YAENDELEA KUNUFAISHA WATANZANIA
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya saruji ya Tanzania Portland Ltd, Jamal Yahya (wa pili kulia), akikabidhi cheti cha ushindi kwa mkazi wa Iringa Fadhil Mbembe aliyeibuka mshindi wa mifuko...
View ArticleLHRC YAMPA MAPOKEZI MAKUBWA MWANAHARAKATI GELINE FUKO AKITOKEA MAREKANI
Geline Fuko (kushoto) akipokea maua kutoka kwa wafanyakazi wenzake wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),ikiwa ni ishara ya kumpongeza baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleSIGHTSAVERES NA IDARA YA AFYA MKOA WA LINDI WATOA HUDUMA YA MACHO BURE NANE NANE
Mratibu wa Huduma za Macho Mkoa wa Lindi Dk.Mwita Machage akimpima mgonjwa wa macho wakati wa sikukuu ya Nane Nane katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi leo.Huduma hii ya upimaji wa macho imefadhiriwa...
View ArticleJESHI LA POLISI KUFUNGIA SHULE ZA UDEREVA ZISIZOKUWA NA SIFA
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishina wa Polisi (DCP), Mohamed Mpinga (wa pili kushoto), akizungumza na wamiliki wa shule za udereva (hawapo pichani), wakati akifungua mkutano wa...
View Article