Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Alex Nkenyenge akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo Agosti 1, 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Maharage Chande akishukuru Serikali kwa fursa ya kuunga mkono jitihada za kuendeleza michezo wakati wa hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo Agosti 1, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumza na wanamichezo na wadau wa michezo katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaoenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo Agosti 1, 2016.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiongea na wanamichezo na wadau wa michezo katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo Agosti 1, 2016.