MFUMUKO WA BEI WA MWEZI JULAI WAPUNGUA HADI 5.1
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraimu Kwesigabo (kulia) akitangaza Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Julai, 2016 ambao umefikia asilimia 5.1 kutoka asilimia...
View ArticleJAMII FORUMS YAZINDUA RASMI MRADI WA "TUSHIRIKISHANE"
Timu ya Jamii Media ikitambulishwa mbele ya Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukoba.Mtandao wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na...
View ArticleKATIBU WA BARAZA LA MICHEZO TANZANIA BMT MOHAMED KIGANJA ASEMA KATIKA NGUMI...
Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed Kiganja katikati akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waliomtembelea kazini kwake alipo waita Katibu mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania BMT Mohamed...
View ArticleDAR FESTIVAL KUFANYIKA SEPTEMBA MWAKA HUU
Pichani kati ni Mratibu wa tamasha la Dar Festival, Faridi Faradj akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani),jijini Dar es Salaam juu ya tamasha hilo litakalofanyika mwezi huu katika...
View ArticleSERIKALI IMEJIPANGA KUONDOA MSONGAMANO KATIKATI YA JIJI -PROFESA MBARAWA
Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akizinduwa safari za gari moshi leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa...
View ArticleKOCHA SUPER D AENDELEA KUWA NOWA MABONDIA IDD MKWELA KWA AJILI YA MPAMBANO...
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Shule ya Uhuru Mkwela anajianaa...
View ArticleLILIAN INTERNET KUSTAAFU UNENGUAJI ,BAADA YA KUTAMBA JUKWAANI KWA MIAKA 17
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamUongozi wa Kampuni ya African Stars Entertainment ( Aset), wanaomiliki bendi ya Twanga Pepeta wameandaa usiku maalum wa kumuaga mnenguaji wake mahiri...
View ArticleMSIMU MPYA UNAKUJA WA SUPER SPORT
NA MWANDISHI WETU Ulimwengu wa Mabingwa Super Sport katika kuwajali mashabiki wake umepanga kuwaletea soka bora barani Afrika kwa kuonyesha michuano yote moja kwa moja ya msimu mpya katika kiwango cha...
View ArticleVIJANA WAENDESHA MDAHALO KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI
Mwakilishi Mkazi msaidizi kutoka UNFPA Bi. Christine Mwanukuzi akifungua mdahalo huo, kuwashukuru vijana kwa kujumuika pamoja na kuwapongeza kwa kufanikisha mdahalo huo kuelekea katika siku ya vijana...
View ArticleBONDIA VICENT MBILINYI AJINOA KA AJILI YA MKENYA SEPTEMBA 17 NAIROBI KENYA
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa kumwelekeza kupiga ngumi zilizo nyooka wakati wa mazoezi ya bondiahuyo ya kujiandaa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleHUU UHARIBIFU WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA KATIKA VITUO VYA MABASI YA...
Ikiwa ni Takribani miezi michache kupita tangia mabasi ya mwendo kasi yaanze kufanya kazi kwa ufanisi mzuri, kumekuwa na mambo kadha wa kadha yakiendelea ikiwa ni pamoja na kuharibika kwa miundombinu...
View ArticleWIZARA YATOA UFAFANUZI WA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA NA HOMA YA MANJANO
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mohamed Mohamed akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya hatua iliyochukuliwa na Serikali kuagiza na...
View ArticleSHULE ZA FEZA HAZITAFUNGWA
Na Dotto MwaibaleUONGOZI wa Shule za Feza nchini umeibuka na kukanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa wao hawana uhusiano na Fethullah Gulen wala serikali ya Uturuki kwa vile...
View ArticleMWENYEKITI MPYA WA CCM RAIS JOHN POMBE MAGUFULI APOKELEWA DAR KWA VIFIJO NA...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla...
View ArticleDROO YA JENGA NA TWIGA CEMENT YAFIKIA TAMATI
Meneja Ukuzaji Biashara wa Twiga Cement, jamal Yahya akiongea na Revocatus Mwombeki (32) ambye ni mkazi wa Jiji la Mwanza aliyeibuka kuwa mshindi wa kwanza katika droo ya mwisho ya Jijenge na Twiga...
View ArticleCHRISTIAN BELLA ALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI MWANZA
Mwanamuziki nyota Christian Bella akikonga nyoyo za maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza...
View Article