MPANGO :KAFICHUENI UBADHIRIFU BILA WOGA KWENYE MIRADI
Watoto waliocheza halaiki leo tarehe 2 Aprili 2025 kwenye uzinduzi wa kuwasha Mwenge wa Uhuru kwenye Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha Mkoani PwaniMkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge...
View ArticleMIKAKATI YAWEKWA KWA WENYE UHUTAJI MAALUM KUKABILIANA NA MAAI
Na Mwandishi Wetu , Berlin , Ujerumani Mfuko wa Dunia wa Watu wenye Wlemavu (Global Disability Fund – GDF) umezikutanisha nchi zaidi ya 23 Mjini Berlin Nchini Ujerumani huku wakijikita katika...
View ArticleKISARAWE YAZINDUA MIRADI SABA YENYE THAMANI YA BIL.1.1
Akikagua miradi hiyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ussi amesema kuwa miundombinu ya mabomba maji yaboreshwe kwenye mbweni la wasichana Shule ya Kisarawe ili wanafunzi waweze kupata huduma hiyo...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA UJERUMANI WAPONGEZWA
Na Mwandishi wetu, Berlin Ujerumani Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga (Mb) ameupongeza Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Shirikisho la...
View ArticleRAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI ANGOLA KWA ZIARA YA SIKU TATU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Luanda kwwnye Ziara ya Kiserikali nchini...
View ArticleWASIRA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 53 YA KIFO CHA KARUME
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira leo Aprili 7, 2025 ameshiriki Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 53 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani...
View ArticleJK AWASILISHA UJUMBE WA RAIS DKT. SAMIA KWA RAIS MUSEVENI WA UGANDA
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kama Mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mkutano...
View Article