WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA WAADILIFU WANAPOTUMIA MFUMO WA NeST
TABORA. Katibu Tawala Mkoa wa Tabora, Dkt. John Mboya amewataka watumishi wa umma kuzingatia Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, wanapofanya michakato ya ununuzi kupitia Mfumo wa NeST ili kuongeza...
View ArticleMLOGANZILA YATOA UVIMBE KWENYE MAPAFU KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO
Mloganzila yatoa uvimbe kwenye pafu kwa kutumia matundu madogoKwa mara ya kwanza wataalam wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila wamefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye pafu la mgonjwa kwa...
View ArticleKAMATI TENDAJI MRADI WA SOFF YAKUTANA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI...
Moja ya masuala yatakayojadiliwa katika kikao cha pili cha Kamati Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) ni pamoja na kutathimini...
View ArticleBALOZI NCHIMBI ASAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI MKUU 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameshiriki katika utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025. Shughuli hiyo...
View ArticleWANADIPLOMASIA WAZURU NGORONGORO
Wanadiplomasia wanaoshiriki ziara ya kitalii wakiwa katika geti la kuingia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. Bonde la Ngorongoro ni bonde (Crator) kubwa zaidi isiyo na mivunjiko duniani ikiwa na mandhari...
View ArticleMCHENGERWA AIPONGEZA NMB KUHAMASISHA KUPANDA MITI MASHULENI
Mwonekano wa miti iliyopandwa na wanafunzi wa Sekondari ya Shule ya Mwambisi Forest iliyopo Wilayani Kibaha Mkoani Pwani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa, akikabidhi hundi...
View ArticleDKT. YONAZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA TFNC
Na Mwandishi Wetu , Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt....
View Article