MAWAKILI WA SERIKALI WASISITIZWA KUISHAURI SERIKALI NA KUTENDA HAKI
📌 Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za Asasi za Kiraia kutoa huduma za kisheria kwa Wananchi📌 Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma za sheria nchini 📌 Wanasheria wakumbushwa kuwa...
View ArticleDKT. KIKWETE AWASILISHA UJUMBE WA RAIS DKT SAMIA SULUHU CONGO BRAZZAVILLE
Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), Mhe. COLLINET...
View ArticleTMA YAPONGEZWA KWA UBORESHWAJI WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imepongezwa kwa uboreshwaji wa utabiri wa hali ya hewa na taarifa za tahadhari za matukio ya hali mbaya ya hewa nchini. Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Rozalia...
View ArticleWAZIRI MKUU AELEKEA SOMANGA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi Hii Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Lindi ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha...
View ArticleBALOZI TEMBELE ASHIRIKI MDAHALO MAALUM KUADHIMISHA MIAKA 70 YA MKUTANO WA...
Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mhe. Macocha Tembele leo tarehe 16 ,Aprili, 2025 ameshiriki katika mdahalo maalum wa maadhimisho ya miaka 70 ya Mkutano wa Asia na Afrika maarufu kama Mkutano wa...
View ArticleJK USO KWA USO NA KEPTENI KIONGOZI WA KIJESHI WA BURKINA FASO TRAORE JIJINI...
Rais mstaafu wa awamu ya nne na mjumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe maalum kwa kiongozi wa Burki Faso...
View ArticleMEJA JENERALI MABELE AMEWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA ZA KULALA WAGENI BUSTANI...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele kushoto na Mkuu wa Kikosi Cha 832KJ Ruvu Kanali Peter Elius Mnyani. Kabla ya kuweka jiwe jiwe la msingi katika nyumba hizo ,...
View ArticleRC DANIEL CHONGOLO ARIDHISHWA NA UJENZI WA BWALO LA CHAKULA SHULE YA DR SAMIA...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, ameshindwa kuzuia hisia zake na kutamka kwa msisitizo kuwa “ mmefuta hasira zangu” baada ya kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa bwalo la chakula katika...
View ArticleMIF YAKABIDHI TAULO ZA KIKE 350 WA WASICHANA WNAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 18 Aprili 2025 imekabidhi taulo za kike (Sanitary Pads) 350 kwa wasichana walio katika...
View ArticleBALOZI MATINYI AAHIDI KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA
BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema kuwa atatumia uzoefu alioupata katika kazi yake ya uandishi wa habari kutafuta taarifa na kung'amua mbinu za kuvutia watalii wengi kama...
View Article