ANKO HASHIMU ANAZIKWA PEMBENI YA SHINDANO LA 'MISS TANZANIA'
Anko Hashim Lundenga enzi za uhai wake.Na Kionambali M.KionambaliKisiju/Mkuranga S.L.P 2785____________________NI msiba mzito kwa familia ya urembo Tanzania.Rafiki yetu Hashim Lundenga' Anko Hashim...
View ArticleDKT. BITEKO AWAASA WAKRISTO KULIOMBEA TAIFA
📌 Ashiriki ibada ya Pasaka AIC Makongoro📌 Wakristo wakumbushwa ufufuko wa Yesu ulete mabadiliko maishani mwao📌 Ataka wenye nia thabiti wajitokeze kugombeaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe....
View ArticleFATHER JOHN MTWALE ATOA WITO VIONGOZI WA DINI KUJIENDELEZA KIELIMU
Father John Mtwale kutoka Jimbo Katoliki la Mwanza amesema kuwa ni muhimu kwa viongozi wa dini kujiendeleza kupata elimu mara kwa mara ili kuweza kupanua wigo wa uongozi kwa waumini wa dini wanao...
View ArticleDKT. GWAJIMA AKEMEA UDHALILISHAJI WA MABINTI KWA MWENZAO VYUO VIKUU
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea na kulaani udhalilishaji uliofanywa na mabinti kadhaa walioshirikiana kumdhalilisha binti...
View ArticleBALOZI NCHIMBI ATOA SALAMU ZA PASAKA KATIKA MTOKO ULIOANDALIWA NA WASANII WA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka katika tamasha la mtoko wa Pasaka lililoandaliwa na Wasanii wa Muziki wa Injili nchini....
View ArticleDKT. BITEKO AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO
📌 Dkt. Biteko Kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi ArushaNa Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 22,...
View ArticleALHAD MUSSA AMEKATAZA KUTOHUKUMU NAFSI ZA WATU
Mwenyekiti Kamati ya Taifa ya Maridhiano nchini Sheikh Alhad Mussa ameiasa jamii kuacha tabia ya kuhukumu mtu , hakuna kifo kibaya kama mtu kuondoka ghafla unakwenda 'fresh'bila kuomba toba kwa...
View ArticleTULINDE, TUENZI UTAMADUNI KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU- MAJALIWA
▪️Asema tusikumbatie tamaduni zinazokwenda kinyume na maadili na ustaarabu▪️Prof. Kabudi asema sarakasi ni mchezo unaongoza kuliingizia Taifa fedha za kigeni Na Mwandishi Wetu, Waziri Mkuu Kassim...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA COMORO AKUTANA NA MJUMBE WA FIFA
Balozi wa Tanzania nchini Comoro amekutana na kufanya mazungumzo na Bi Kanizat Ibrahim ambaye ni Mjumbe wa Afrika katika Baraza la Uongozi la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)ambaye ni raia wa...
View ArticleBALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
*Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – BundaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa...
View ArticleDKT.GWAJIMA :MWIJAKU ALIYETAJWA SAKATA LA MABINTI VYUO VIKUU AHOJIWE
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Mwijaku aliyetajwa katika video ya mabinti wanafunzi wa vyuo vikuu waliomdhalilisha binti mwenzao,...
View ArticleDKT. BITEKO AWATAKA WATANZANIA KUTOGAWANYIKA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
📌 Asema Serikali ya Rais Samia itahakikisha miradi ya maendeleo inagusa wananchi📌 Aelezea upekee wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar📌 Asema Rais Samia anasema na kutendaNa Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu...
View ArticleBALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi...
View ArticleWAZIRI MKUU: SERIKALI KUENDELEZA MABONDE NCHINI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji na nishati ikiwa ni mkakati wa...
View Article