RAS PWANI AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU UMUHIMU WA UZINDUZI MWENGE WA...
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Skauti Mkuu wa Tanzania Rashidi Mchatta amefungua Kongamano la siku mbili lililojikita katika kutoa elimu juu ya umuhimu wa uzinduzi na mbio za Mwenge wa...
View ArticleWAAJIRI WATAKIWA KUTHAMINI TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI.
Na Mwandishi Wetu.Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini wametakiwa kuithamini Taaluma ya Habari kwa kuwalipa stahili zao na mishahara kwa wakati waandishi wanaofanya kazi katika vyombo hivyo.Wito huo...
View ArticleRC KUNENGE AFUNGA KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU UMUHIMU WA KUSHIRIKI MBIO ZA...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amewataka vijana kuwa wazalendo na wasiamini kushindwa kwenye jambo lolote wanalotaka kulifanya katika kujiletea maendeleo na kutimiza ndoto zao.Kunenge...
View ArticleNCAA YANG’ARA TUZO ZA UBORA ZA PRST 2024
Kampeni ya ‘Merry & Wild: Ngorongoro Awaits’ Yavunja Rekodi*Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kung’ara katika ulingo wa mawasiliano na uhusiano wa umma baada ya kushinda Tuzo ya...
View ArticleEWURA KINARA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI
Pichani, Bw Wilfred Mwakalosi (kushoto), Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano EWURA akipokea tuzo kutoka kwa Bw. Bakari Machumu, moja ya majaji wa tuzo za PRST kwa mwaka 2024, katika hafla...
View ArticleUWANJA WA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA KUTUMIKA MICHUANO YA CHAN ,AFCON 2025-27
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani ambapo utatumiwa kufanyia sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru na kusema ameridhishwa na maandalizi...
View ArticleNIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA KUWASHWA KWA MWENGE WA UHURU - MAJALIWA
WaziriMkuuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguka katika Mikoa 31 naHalmashauri 195 nchini.Amesema hayo leo...
View ArticleSERIKALI YA MTAA KIPUNGUNI WATOA MKONO WA EID
Taasisi ya isiyo ya Kiserikali ya Jamii Kwanza initiative (JKI) kwa Kushirikiana na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Amani Kata ya Kipunguni,Ilala Jijini Dar es salaam Machi 29,2025 imefanikisha kutoa...
View ArticleRAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATOA MKONO WA EID KWA WENYE UHITAJI DODOMA
Mkuu Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule Machi 30,2025 amekabidhi kwa niaba ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suhulu Hassan, zawadi za mkono wa Eid kwenye vituo...
View Article