TMA JNIA WASHEREHEKEA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau pamoja...
View ArticleINEC YAONGEZA SIKU UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA
Na. Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam ambapo sasa zoezi...
View ArticleCHATANDA ACHAGIZA WANAWAKE KUJITOSA UCHAGUZI MKUU 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT ) Mary Chatanda pichani juu ametoa rai kwa wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea katika ngazi za...
View ArticleMAANDALIZI UZINDUZI MBIO ZA MWENGE WA UHURU UMEFIKA 96%
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge amesema kuwa maandalizi ya uzinduzi wa kuwasha Mwenge wa Uhuru umefikia asilimia 96.RC Kunenge amesema hayo leo tarehe 25 Machi 2025 alipozungumza na...
View ArticleKIGOMA UJIJI WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAAFA
Na Mwandishi wetuKIGOMA. Maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu (Idara ya Menejimenti ya Maafa) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa linaloshughulikia uhamaji (IOM) wameendesha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO KUZINDUA MWENGE WA UHURU PWANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isidory Mpango atazindua mbio za Mwenge wa Uhuru tarehe 2 Aprili 2025.Akizungumza leo tarehe 26 Machi 2025 kwenye mkutano na Waandishi...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Mipango Na Uwekezaji Prof. Kitila Alexander Mkumbo ametoa ahadi kwa uongozi wa Kiwanda cha King Lion kuwa Serikali itajenga miundombinu rafiki kwa wawekezaji hasa...
View Article