Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Luanda kwwnye Ziara ya Kiserikali nchini Angola leo Aprili 07, 2025 ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço.