NSSF ILIVYOSHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI DODOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (kulia) na Meneja Kiongozi Masoko na...
View ArticleMIKADA YA UBINGWA WA DUNIA WATAKAYOGOBANIA MASHALI/CHEKA YAWASILI NCHINI...
Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali...
View ArticleBONDIA VICENT MBILINYI AJITAHALISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4
Na Mwandishi WetuBONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga naBondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika juni 4 mwaka...
View ArticleTAHAFE YATANGAZA TAASISI 31 ZITAKAZO PELEKA MAHUJAJI KWENDA KUHIJI MAKKA
Mwenyekiti wa Shirikisho la Taasisi za Hijja Tanzania (TAHAFE), Sheikh Abdallah Khalid (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mchakato wa kwenda kuhiji mwaka huu...
View ArticleWAZIRI UMMY MWALIMU ALIPOHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WANAWAKE KUHUS MASUALA...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Wajumbe wa Mkutano wa Viongozi Wanawake katika masuala ya Afya katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar...
View ArticleMAMIA WAMZIKA ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) DODOMA
Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga Enzi za Uhai wake Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya Ibada na Kutoa kutoa Heshima za mwishoIbada...
View ArticleMAMIA WAMZIKA ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) DODOMA
Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga Enzi za Uhai wake Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya Ibada na Kutoa kutoa Heshima za mwishoIbada...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM IMETUPILIA MBALI RUFAA YA DPP
Na JacquilineMrisho - MAELEZO Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) iliyokuwa ikipinga kuondolewa kwa shitaka la 8 la utakatishaji fedha...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI MBALIMBALI AKIWA SAFARINI KUTOKEA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha...
View ArticleHAFLA YA KUFUNGA KAMBI YA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAFANA
Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Dhi Nureyn Islamic Foundation, Said Abri akizungumza na madaktari wa wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar na nchini Uingereza waliokuwa katika hospitali ya Taifa ya...
View ArticleSERIKALI YABAINI SUKARI YA TANI 4,579.2 ZILIZOKUWA ZIMEFICHWA KWENYE MAGHALA
NA FRANK MVUNGI -MAELEZOTaasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) yabaini kuwepo kwa sukari iliyofichwa tani 4,579.2 iliyonunuliwa toka Kiwanda cha Sukari Kilombero.Kwa mujibu wa Taarifa...
View ArticleJK AMUWAKILISHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI MAZISHI YA LUCY KIBAKI NCHINI...
. Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya. ;Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt...
View ArticleTANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleKILIMO CHA KISASA CHA NYANYA KILIVYO MEA
Dk. Sophia Mlote, mkazi wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam akiweka sawa vifaa mbalimbali kwenye banda lake la kilimo ambamo amepanda nyanya. Dk. Mlote anatekeleza kilimo hai kupitia mradi wa...
View ArticleTOZO DARAJA LA NYERERE KUANZA JUMAMOSI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Joseph Nyamhanga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutozwa kwa vyombo vya usafiri vitavyopita katika Daraja la Nyerere...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA SITA YA CHAMA CHA WATANZANIA WALIOSOMEACHINA
(CAAT) Chama cha Watanzania Waliosoma China kwa kiingereza China Alumni Association of Tanzania (CAAT) kinapenda kukukaribisha katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 6 (2010-2016) tokea kilipozaliwa....
View ArticleBENKI YA AZANIA YATOA MSAADA WA MILIONI 5 KWA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA YA...
Mkurugenzi wa Mikakati na Biashara wa Benki ya Azania, Mwanahiba Mzee (kulia), kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa benki hiyo, akimkabidhi kiongozi wa wagonjwa wa ndani wa Hospitali ya Rufaa ya Amana,...
View ArticleTIGO YATOA MSAADA WA VYANDARUA KWA HOSPITALI YA UKEREWE
Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(fulana ya blue), akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano...
View ArticleBONDIA SAJJAD MEHRAB AWASILI KUMVAA THOMASI MASHALI MEI 14 TAIFA
Bondia Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' kulia akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja na kocha wake baaa ya kutua nchini kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali mei 14...
View Article