Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa Dunia mbele ya waandishi wa habari awapo pichani watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia nae atagombania ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Cosmas Cheka akiongea na waandishi wa habari |
Fransis Miyeyusho akiongea na waandishi wa habnari |
Bondia Lulu Kayage akiongtea na waandishi wa habari |
Mratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa watakayogombania mabondia Cosmas Cheka atakaecheza na Fransic Kimani wa Kenya na Thomasi Mashali kulia akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia atakaocheza na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya may 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba mota baada ya leo kukutanishwa mabondia wote wa Tanzania watakaocheza na wa nje kuongea na wahandishi wa habari baada ya kuwasili mikanda ya ubingwa wa Dunia itakayo gombaniwa na mabondia wawili wa Tanzaniaakizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mlatibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema mabondia wote wapo safi kwa ajili ya mpambano uho wa kimataifa ambapo bondia Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' nae Cosmas Cheka atakuwa akigombania ubingwa wa Dunia wa U.B.O uzito wa super Fether kg 59 dhidi ya mkenya Fransic Kimani Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda Abdalla Pazi 'Dula Mbabe' atavaana na Chamunorwa Gonorenda kutoka Zimbabwe mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo |