MABONDIA WA TANZANIA WATAMBA KUWASAMBALATISHA WAGENI
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa Picha na...
View ArticleBARIDI BAND YATOA KIBAO IPYA CHA MOLA NILINDE
Na Mwandishi WetuKATIKA Band zinazokuja kwa kasi apa nchini moja wapo ni Baridi Band yenye maskani yake Chanika Dar Es Salaam bendi hiyo inayokuja kwa kasi ya juu imekuwa gumzo kw sasaBaada ya kutoa...
View ArticleMKUU WA WILAYA TEMEKE AZINDUA MICHUANO YA UMISETA
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema ambaye alikuwa mgeni rasmi wa uzinduzi wa Michuano ya Shule za Sekondari Nchini (UMESETA), akipiga dana dana wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Uwanja wa Uhuru...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA
Wabunge wakiingia bungeni mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOGWabunge wakijadiliana jambo ndani  ya bungeWabunge wakipata habari kupitia kwenye simu bungeniMbunge wa...
View ArticleSAUTI ZA BUSARA WAITA WASHIRIKI 2017
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:Muda ndio huu wa kuomba ushiriki wa tamasha la Sauti za Busara 2017 April 2016 Busara Promotions inawataka wasanii kutoka Tanzania na bara zima la Afrika wanaotaka kufanya...
View ArticleKIGOGO TRA NA MFANYAKAZI WA YONO WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA MADAI YA RUSHWA
 Watuhumiwa wa kesi ya kujihusisha na rushwa ya Shilingi Milioni 50 kutoka Kampuni ya Glenn Glarke, Edward Magobela (mbele) ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart akiwa na...
View ArticleRIPOTI YA CAG ASAD IMEJAA UFISADI
Ulaji na uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabuza Serikali CAG. Misamaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1 Halmashauri 40...
View ArticleWAZEE WASIOJIWEZA BUKUMBI WAOMBA SERIKALI IWAKUMBUKE
Wauguzi wa zahanati ya kituo cha ustawi wa Jamii cha Bukumbi kijiji cha Kigongo kata ya Idetemya wilayani Misungwi mkoani Mwanza wakiwaongoza waandishi wa habari wa jiji la Mwanza na Dar es Salaam...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA SHULE...
Wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakiimba wakati wakielekea ukumbini kwa ajili ya kuanza rasmi kwa sherehe ya kuwaaga.Mkuu wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA KILIMANJARO WAKAMATA MISOKOTO 4500, GRAMU 10 ZA BHANGI
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi ,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto ya Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika kufanikiwa kuwakimbia askari Polisi.Kamnad wa Polisi mkoa wa...
View ArticleGALA DINNER YA DICOTA NA HAFLA YA KUTOA VYETI ILIVYOFANA
 Mhe. Wilson Masilingi Balozi wa Tanzania nchini Marekani na mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya DICOTA  2016 iliyofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya...
View ArticleBOHARI KUU Msd WATOA UFAFANUZI WA DAWA KUKWAMA NJIANI KATI YA KEKO KWENDA...
 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu akionesha moja ya nyaraka inayoonesha upelekaji wa dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleWAENDESHAJI WA MITANDAO KUTOTUMIA TAARIFA , PICHA YOYOTE YA MAADHIMISHO UHURU...
TAARIFA KWA WANACHAMA WA TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network'– TBN inawaomba wanachama wake wote kutotumia taarifa ama...
View ArticlePRESS CONFERENCE KUHUSU VIDEO YA CHURA ULIOREKODIWA NA SNURA MUSHI
TANGAZO:Â Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Tarehe 4/5/2016 saa 5:00 Asubuhi itaongea na wanahabari kuhusu video ya snura iitwayo chura katika ukumbi wa Wizara uliopo ghorofa ya tisa kwenye...
View ArticleMWANAFUNZI ALIYEITINGISHA DUNIA ATUA BUNGENII
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Mwanafunzi Getrude Clement alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma. (Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO,...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUUSAMBAZA WIMBO WA CHURA
Serikali kupitia Wizara yake ya Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo leo asubuhi wametangaza kumfungia msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi kujihususha na masuala ya sanaa ikiwemo...
View ArticleMSANII SNURA MUSHI AJITOKEZA KUOMBA MSAMAHA MBELE YA WATANZANIA KWA VIDEO...
 Msimamizi wa kazi zake Bwana Hemed Kavu maarufu kama HK (kushoto) akisoma taarifa ya Snura Mushi kuomba msamaha kwa Watanzaniaya kutokana na kusambazwa kwa video ya msanii huyo iliyokiuka maadili ya...
View ArticleZIFF 2016 WAMETANGAZA MAJINA YA FILAMU KALI ZITAKAZOSHINDANISHWA KATIKA...
Tamasha la filamu la Zanzibar (ZIFF) limetangaza majina ya filamu zitakazoshindanishwa hapo ifikapo Julai 9 hadi 17. Tamasha lilipokea jumla ya filamu 490 kutoka nchi 32 mwaka 2016.Jopo la wachaguzi...
View ArticleAirtel yatoa Fursa za Ajira kwa wanafunzi katika vyuo vikuu mbalimbali nchini
Meneja Rasilimali watu wa Airtel, Bi, Gabriella Kaisi (kulia) akiwapongeza James Kwayu (katikati) na Abubakar Nassor ambao ni wanafunzi wa vyuo waliofaidika na aiira katika kampuni ya Airtel kupitia...
View ArticleMABONDIA KUTOKA ZANZIBA WASAINI KUZIPIKA KATIKA 'USIKU WA MAHAVY WEIGHT'
Bondia wa uzito wa juu nchini kutoka Zanzibar Ashiraf Selemani katikati akitia saini mkataba wa kuzichapa na bondia kutoka Thailand June 4 mpambano utakaofanyika uwanja wa ndani wa Taifa kulia ni...
View Article