$ 0 0 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Mwanafunzi Getrude Clement alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma. (Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)