SERIKALI MKOANI MBEYA YAFUTA HATI YA KIWANJA CHA MAKAZI KILICHOTOLEWA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala (Picha Maktaba)Na Emanuel Madafa,Mbeya -amiimojabloguSERIKALI Mkoani Mbeya imeagiza kufutwa kwa hati ya kiwanja kilichotolewa na halmashauri ya Jiji la Mbeya kwenye...
View ArticlePICHA LUKUKI ZA MATUKIO BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ambaye alisababisha wabunge wanawake wa upinzani kutoka bungeni wiki iliyopita kwa madai ya kuwadhalilisha,akichangia hoja bungeni Dodoma jana, ambapo...
View ArticleDAWASCO KUGHARAMIA GHARAMA ZA UUNGANISHAJI KWA WATEJA WAPYA
Mhandisi Cyprian Luhemeja.Katika kutekeleza agizo la serikali la kuwafikia wateja laki 4 (400,000) ifikapo June 2016 ,Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) ,linaendelea na...
View ArticleKAMISHNA MSAIDIZI KITENGO CHA HAKI ZA MTOTO AFUNGUA NYUMBA ZA KUNDI LA WATOTO...
Kaimu Kamishna msaidizi kitengo cha haki za mtoto na marekebisho ya tabia, Steven Gumbo akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za kundi la watoto wanaoelekea ujanani katika kituo cha...
View ArticleTANZANIA KUWA WENYEJI MKUTANO WA WAKADIRIAJI MAJENZ
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO DAR ES SALAAM. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa wakadiriaji majenzi Afrika unaotarajiwa kufanyika...
View ArticleETHIOPIAN AIRWAYS JOIN ZIFF 2016
Travelling to Zanzibar will be even easier this year thanks to a sponsorship by Ethiopian Airline that will give discounted rates for international travellers wanting to attend the Zanzibar...
View ArticleWAZIRI NAPE NNAUYE PAMOJA NA WAZIRI JANUARY MAKAMBA WAKUTANA NA WASANII...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya ambao walitembelea Bunge mjini Dodoma akiwemo Msanii Nasib Abdul maarufu...
View ArticleTAMKO LA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA/UCHAGUZI KUHUSU KAULI ZA KEJELI NA...
Sisi Wanamtandao wa Wanawake na Katiba/Uchaguzi na Uongozi tumesikitishwa na kufadhaishwa sana na hali ya udhalilishwaji na matumizi ya lugha chafu na za kejeli dhidi ya Wanawake Bungeni. Kauli kama...
View ArticleUPDATES: MSIBA WA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI
Assalaam aleikum,Familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini. Taarifa ya sasa ni kwamba,...
View ArticleSERENGETI BOYS YATUA GOA, KUANZA NA MAREKANI J’PILI
Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya soka ya kimataifa kwa vijana (AIFF Youth Cup 2016 U-16)...
View ArticleNGUMI ZA KIMATAIFA KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MEI 14 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa...
View ArticleBLOGGERS WAATINGA BUNGENI KWA MWALIKO WA WAZIRI NAPE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato...
View ArticleSERIKALI YATOA BIL.2.3 KUWALIPA WAFANYAKAZI WA NIDA
Na Beatrice Lyimo-MAELEZODar es salaam. Serikali imeipatia Mamkala ya Vitambulisho vya Taifa NIDA shilingi bilioni 2.3 (Bilioni mbili na milioni mia tatu) kwa ajili ya kuwalipa watumishi wa muda 597 wa...
View ArticleMAGGID MUHIDIN MICHUZI KUZIKWA LEO SAA KUMI
Assalaam Aleikhum,Updates za familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin (18), aliyefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini:Mwili...
View ArticleWEMA SEPWTU NA WASANII WENGINE WALIPO ALIKWA BUNGENI DODOMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa na wasanii mbalimbali pamoja na blogger nje ya bunge baada ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa...
View ArticleVIWANDA KUPIMA VIWANJA 2180 CHASIMBA
Na Jacquiline Mrisho-MAELEZO Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeazimia kupima jumla ya viwanja 2180 katika Kijiji cha Chasimba,wilayani Kinondoni baada ya kuisha kwa mgogoro wa ardhi...
View ArticleBENKI YA POSTA YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO BAGAMOYO
Benki ya Posta Tanzania (TPB) imetoa msaada ya mahitaji mbalimbali chakula, mavazi kwa kituo cha watoto waishio katika mazingira magumu kiitwacho ‘Amazing Step for Children Foundation’ jana Wilayani...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MWANETU MAGGID MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM
Mwili wa marehemu ukiingizwa katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es salaam leo tayari kwa kuswaliwa kabla ya mazishi.Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimfariji baba wa marehemu...
View ArticleRC MAKONDA ASEMA WANAWAKE NDIYO CHANZO CHA UFISADI NCHINI
IMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua machinjio ya Vingunguti baada ya kuzungumza na wananchi wa Kata ya Mnyamani Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala,...
View ArticleSHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA ANKAL KUFUATIA MSIBA WA MWANAE MAGGID
Familia ya Ankal Muhidin Issa Michuzi inapenda kutoa shukrani nyingi sana sana kwa ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wafanyakazi wenzie kwa kujitoa kwa hali na mali katika wakati huu mgumu wa msiba...
View Article