SERIKALI YAJA NA MFUMO WA KUDHIBITI UBADHIRIFU WA MITIHANI
WANACHAMA CHAMA CHA TIBA ASILI WAKUTANA
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakimsikiliza Mwenyekiti wa Shivyatiata, Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo wakati akizungumza nao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakisikiliza hoja na michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa na baadhi wa wajumbe wenzao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Wajumbe wakisikiliza michango na hoja mbalimbali zilizokuwa zikiolewa katika mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala.
Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala, akifafanua jambo kwa wajumbe wa mkutano huo.
Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akizungumza wakati akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo.
Wajumbe wakimsikiliza Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, wakati akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe wa mkutano huo.
HALMASHAURI NCHINI ZAKUMBUSHWA KUNUNUA DAWA ZA KUUA VILUWILUWI VYA MBU
TGGA YAZINDUA KAMPENI YA HEDHI SALAMA KWA WASICHANA
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari Mkoa wa Lindi wakiingia kwa maandamano kwenye Uwanja wa Ilulu, wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
Na Richard Mwaikenda-Lindi
SERIKALI ya Mkoa wa Lindi imekubali ombi la Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), kwa kila shule kutenga chumba kimoja kwa ajili ya kujistiri wasichana wakati wa hedhi.
Ombi hilo lilitolewa na Katibu Mkuu wa TGGA Taifa, Grace Shaba wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Ilulu, mjini Lindi, ambapo aliiomba serikali na walimu wakuu wa shule kutenga vyumba mashuleni vya wasichana kujihifadhi wakati hedhi.
Shaba ambaye ni mwalimu mstaafu, alisema kuwa wakati akitumikia ualimu katika shule mbalimbali alikuwa anatenga vyumba kwa ajili ya kazi hiyo na kwamba viliwasaidia sana wanafunzi wasichana.
Akihutubia wakati wa hafla hiyo, Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya, Thomas Safari alisema vyumba vya siri kwa ajili ya wasichana wakati wa hedhi ni muhimu sana kwani vinawafanya wawe salama kiafya na wasafi wakati wote.
Alisema watahakikisha kwa kila shule katika mkoa huo inakuwa na chumba cha siri kwa wasichana, iliwe mfano hata kwa mikoa mingine na taifa kwa ujumla.
Pia aliwaasa wazazi, walezi na waalimu kueneza elimu hiyo ili watoto waelewe vizuri umuhimu wa usafi wakati wa hedhi, jambo ambalo litawafanya wawe na furaha, afya na usafi, hivyo kuondokana na mazoea ya kujinynyapaa na kulifanya la siri.
"Tuondokane na baadhi ya mila zetu potofu zinazolifanya suala la hedhi kuwa la siri, inatakiwa kuanzia sasa watoto wa kike wabebe begi lenye vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia wakati wa hedhi, ikiwemo khanga, pedi, vitambaa na mtandio.
"alisema Safari.
"Inabidi sote tuwe mabalozi kwa kuongea na watoto, tutunze afya na usafi wao, kwani hao ndiyo viongozi wa taifa letu la kesho
. Bila kuwa na afya njema hatutakuwa na viongozi imara wa Taifa letu."Alisisitiza Safari.
Dhima na lengo la TGGA ambayo ina wanachama zaidi 100,000 nchininni kuwajengea wasichana nafasi ya kujithamini, ari ya maendeleo, uzalendo kwa nchi na kujiamini.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa hamasa ya kampeni hiyo
Mmoja wa wanafunzi akielezea jinsi ya kutumia pedi
Maandamano ya wanafunzi kwenye Uwanja wa Ilulu
Wanafunzi wa kike wakiwa na furaha wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo
Rehema Kijazi wa TGGA Makao Makuu akiwahamasisha wanafunzi wakati wa maandamano
Wanafunzi wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kuhamasisha matumizi salama ya vihifadhi yaani Pedi
Viongozi wa TGGA Mkoa wa Lindi wakiwa eneo la uzinduzi wa kampeni hiyo
Makamu Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa Lindi, Saharifa Mkwango akisherehesha
Katibu Mkuu wa TGGA Taifa, Grace Shaba akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo kwa kuwaeleza dhima na lengo la chama hicho kuwaelimisha wasichana kuhusu maadili mema na matumizi sahihi ya pedi wakati wa hedhi.
Baadhi ya wazazi miongoni mwao wakiwemo walimu wakisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi
Girl Guids kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar wakihamasisha matumizi ya pedi wakati wa hedhi
Mgeni rasmi, Thomas Safari akihutubia
Safari akizindua rasmi kampeni hiyo kwa kufungua kasha lenye pedi
Mgeni rasmi akikabidhi makasha yenye pedi yaani vihifadhi kwa wanafunzi wa shule mbalimbali
Wanafunzi wakisakata muziki wakati wa kampeni hiyo
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliokabidhiwa makasha ya pedi zitakazogawiwa shuleni kwao
Girl Guids wakiwa katika picha ya pamoja
Katibu Mkuu wa TGGA Taifa, Grace Shaba akisaidiana na mwanafunzi Caren Seki kumwagilia mti alioupanda katika shule ya Msingi Mtuleni
Mgeni rasmi, Thomas Safari akipanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya Msingi Mtuleni |
SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSI UGONJWA WA KISUKALI, UHABA WA MADAKTARI WA MENO NCHINI
NEW AUDIO BY CHAXY
KIWANDA CHA KMTC KUJENGA KINU CHA KUYEYUSHA CHUMA
KAMPENI YA CASTLE LITE UNLOCKS YAFANA
MC akimvisha mteja Kofia mara baada ya kushinda zawadi ambapo burudani za Castle Lite Unlocks zilikuwa zikiendelea katika Bar ya Stanza Goba.kampeni ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka huu. . |
Regards Tone Multimedia Company Limited Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892 E-Mail blogszamikoa@live.com Facebook: www.facebook.com/blogszamikoa Web: www.blogszamikoa.com
TAKUKURU, DStv na MISA WAIPIGA JEKI SERENGETI
AZANIA TEAM YAKABIDHIWA BENDERA
Baadhi ya wachezaji wa Azania Team, mabingwa wa Kombe la michuano ya Standard Chartered way to Anfield kwa nchi za Afrika Mashariki, wakiwa katika hafla hiyo, Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa Azania Team, mabingwa wa Kombe la michuano ya Standard Chartered way to Anfield kwa nchi za Afrika Mashariki, Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad (wa tatu kulia), Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahili (wa pili kulia) na Kocha wa timu hiyo, Saleh Afifi wakiwa pamoja na wachezaji wa timu hiyo, wa hafla hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, Juanita Mramba, akizungumza katika hafla hiyo, kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, nchini, Balozi Ami Mpungwe (katikati), wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, wadhamini wa timu hiyo, Balozi Ami Mpungwe akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, wadhamini wa timu hiyo, Balozi Ami Mpungwe akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na kulia ni Balozi wa Uingereza nchini. Bi. Sarah Cooke.
Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Mmoja wa wakilishi wa benki hiyo, akitoa maelezo machache kuhusu safari hiyo, wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, wakiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad (kulia), wamiliki wa timu hiyo, wakifuatilia maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Deoniz Malinzi, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke akizungumza katika hafla hiyo, ya kukabidhi bendera, viza, tiketi na vifaa vya michezo kwa timu hiyo. Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Balozi Ami Mpungwe.
Wachezaji wa Azania Team, wakiwa na baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katikati ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa BMT, Deoniz Malinzi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati), akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Balozi Ami Mpungwe.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said akielezea matumaini yake na jinsi walivyojianda kwa fainali hiyo, mashindano yatakayofanyika Uwanja wa Anfield jijini Liverpool, nchini Uingereza.
Mchezaji wa timu hiyo, Ahmed Afif, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Mchezaji wa timu hiyo, Thomas Bishanga, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Mchezaji wa timu hiyo, Rajb Ally, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Mchezaji wa timu hiyo, Abdallah Khalid, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Mchezaji wa timu hiyo, Bryan Donald, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Mchezaji wa timu hiyo, Shabaka Khamis, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke (wa tano), Balozi Ami Mpungwe (wa tatu) wa Benki ya Standard Chartered pamoja na Mwenyekiti wa BMT, Deoniz Malinzi (wa pili kushoto) na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia anayefurahi ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said (wa pili kushoto), akiwa ameishikilia Bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kukabidhiwa. Wa pili kulia anayefurahi ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo, akipongezwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya mashindano ya fainali hizo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo.
Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya mashindano ya fainali hizo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu hiyo pamoja na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu hiyo pamoja na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, Awadh Fuad.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu hiyo, Balozi wa Uingereza nchini Bi. Sarah Cooke, Balozi Ami Mpungwe wa Benki ya Standard Chartered pamoja na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo, akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, mara baada ya kumalizika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo, akiwa na baadhi ya wachezaji, wakipata vitafunwa na vinywaji. KAWAIDA Viongozi wa Azania Team, mabingwa wa Kombe la michuano ya Standard Chartered way to Anfield kwa nchi za Afrika Mashariki, Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad (kushoto), Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahili (katikati), wakiwa na Kocha wa timu hiyo, Saleh Afifi wakati wa hafla ya kukabidhi timu hiyo, bendera, Viza, Tiketi pamoja na vifaa vya michezo tayari kuelekea Jijini Liverpool, nchini Uingereza kwa ajili ya kinyan'ganyiro hicho na mabingwa wengine duniani pia kuona mchezo wa mwisho wa Ligi ya Uingereza kati ya timu ya Liverpool na Midlesbrough katika katika Uwanja wa Anfield jijini humo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Baadhi ya wachezaji wa Azania Team, mabingwa wa Kombe la michuano ya Standard Chartered way to Anfield kwa nchi za Afrika Mashariki, wakiwa katika hafla hiyo, Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam. Viongozi wa Azania Team, mabingwa wa Kombe la michuano ya Standard Chartered way to Anfield kwa nchi za Afrika Mashariki, Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad (wa tatu kulia), Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Mohammed Bashrahili (wa pili kulia) na Kocha wa timu hiyo, Saleh Afifi wakiwa pamoja na wachezaji wa timu hiyo, wa hafla hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, Juanita Mramba, akizungumza katika hafla hiyo, kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, nchini, Balozi Ami Mpungwe (katikati), wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, wadhamini wa timu hiyo, Balozi Ami Mpungwe akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, nchini Tanzania, wadhamini wa timu hiyo, Balozi Ami Mpungwe akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na kulia ni Balozi wa Uingereza nchini. Bi. Sarah Cooke. Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. Mmoja wa wakilishi wa benki hiyo, akitoa maelezo machache kuhusu safari hiyo, wakati wa hafla hiyo. Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, wakiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad (kulia), wamiliki wa timu hiyo, wakifuatilia maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa katika hafla hiyo. Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Deoniz Malinzi, akizungumza wakati wa hafla hiyo. Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke akizungumza katika hafla hiyo, ya kukabidhi bendera, viza, tiketi na vifaa vya michezo kwa timu hiyo. Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Balozi Ami Mpungwe. Wachezaji wa Azania Team, wakiwa na baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza wakati wa hafla hiyo. Katikati ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa BMT, Deoniz Malinzi. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati), akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Balozi Ami Mpungwe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said akielezea matumaini yake na jinsi walivyojianda kwa fainali hiyo, mashindano yatakayofanyika Uwanja wa Anfield jijini Liverpool, nchini Uingereza. Mchezaji wa timu hiyo, Ahmed Afif, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Mchezaji wa timu hiyo, Thomas Bishanga, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Mchezaji wa timu hiyo, Rajb Ally, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Mchezaji wa timu hiyo, Abdallah Khalid, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Mchezaji wa timu hiyo, Bryan Donald, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Mchezaji wa timu hiyo, Shabaka Khamis, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa tiketi pamoja na viza yake. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke (wa tano), Balozi Ami Mpungwe (wa tatu) wa Benki ya Standard Chartered pamoja na Mwenyekiti wa BMT, Deoniz Malinzi (wa pili kushoto) na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia anayefurahi ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia anayefurahi ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said (wa pili kushoto), akiwa ameishikilia Bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kukabidhiwa. Wa pili kulia anayefurahi ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo. Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo, akipongezwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya mashindano ya fainali hizo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo. Nahodha wa timu hiyo, Khalid Said, akikabidhiwa vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya mashindano ya fainali hizo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, Awadh Fuad, wamiliki wa timu hiyo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu hiyo pamoja na viongozi wa Kampuni ya Mikoani Traders, wamiliki wa timu hiyo pamoja na viwanda vya kusaga nafaka vya Azania nchini, ...
SHULE 55 KUWA VITUO VYA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI
SERIKALI YATOA WITO KWA WALIMU WA MICHEZO MIPYA KUJITOKEZA
MRADI WA REA KUFIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
MASHIRIKA YA KIMATAIFA YAOMBWA KUISAIDIA TANZANIA KUWAUNGANISHA RAIA WAPYA NA WATANZANIA WENGINE
Na Tiganya Vincent-Kaliua
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiako wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashiriki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Celestine Mushi ametoa wito kwa Mashirika Kimataifa na Umoja wa Ulaya kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuwasaidia Watanzania wapya (waliokuwa wakimbizi wa Burundi) kuhakikishwa wanaunganishwa na jamii ya Watanzania mara baada ya kupata uraia.
Balozi Mushi ametoa kauli hiyo jana katika eneo la Ulyankulu wilayani Kaliua wakati alipokuwa na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya ikiwemo Uingereza.
Alisema kuwa baada ya Serikali kuwapatia waliokuwa baadhi ya wakimbizi wa Burundi Uraia ni vema nchi hizo na Mashirika ya Kimataifa yakasaidia kuongeza raslimali mbalimbali ambazo zitaisaidia Serikali iweze kuwaunganisha vizuri raia hao wapya na raia wengine hapa nchini.
Balozi Mushi aliongeza fedha za Serikali pekee hazitoshi kukamilisha zoezi la kuwaunganisha raia hao kwasababu yapo mahitaji ya wananchi mengine hapo nchini yanayotegemeza hizo fedha kidogo inazokusanya kutokana na vyanzo vyake mbalimbali vya mapato na hivyo ni vema nao wakasaidia kwa upande wao.
Alisema kuwa kimsingi raia hao wapya wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama, uhaba wa vifaa tiba, zahanati , kutokuwa na miundombinu ya kutosha ya elimu na kukosa elimu ya kutosha kuhusu uzazi wa mpango.
Alisema kuwa kukosekana kwa elimu ya kutosha kumewafanya wakazi hao wawe na familia kubwa ambazo hawawezi wakati mwingine kuziwezesha katika huduma za jamii.
Balozi Mushi alisisitiza kuwa kutozingatiwa kwa elimu ya uzazi wa mpango kumelifanya eneo hilo kuwa na wananchi wanaozaliana kwa wingi kuliko maeneo mengine ya Mkoa wa Tabora jambo linalofanya huduma za jamii kuwa kidogo ukilinganisha na idadi ya watu wa hapo.
Alisema kuwa ni vema wadau wakaona ni wapi wanaweza kushirikiana na Tanzania katika kuwasaidia raia hao wapya katika kuondokana na matatizo mbalimbali yanayowakabili. Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kaliua Dkt. John Pima alisema kuwa wastani wa raia kuzaana katika eneo la Ulyankulu ni asilimia 5.4 na hivyo kufanya kuwepo na idadi ya watu wengi katika eneo moja ambao hawawiani na huduma za jamii zilizopo.
Alisema kuwa hatua inasabaisha kuwepo kwa uhaba wa vyumba vya madarasa ,hatua iliyoilazimu Halmashauri hiyo kujaribu kuwahamishia katika maeneo mengine watoto hao ili wapate elimu. Dkt. Pima aliongeza kuwa kuhusu elimu ya uzazi wa mpango wamekuwa wakijitadi kuitoa lakini bado kasi ya uzalianaji ni kubwa na hivyo juhudi zaidi zinahitajika.
Naye Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Huduma ya Wakimbizi Suleman Mziray ujumbe wa Mabalozi wa Umoja wa Ulaya umekwenda Ulyankulu ili kujionea hali halisi na kuangalia jinsi gani wanaweza kuisadia Serikali ya Tanzania katika kutengamanisha waliokuwa Wakimbikizi ambao wapata uraia na Watanzania wengine.
Alisema kuwa mabalozi hao wamekuwa na Umoja wao unajulikana kama Solutions Alliance ambao lengo lake ni kutafuta suluhusho la kuduma kwa wakimbizi.
Mziray aliongeza kuwa ziara ya Mabalozi hao ilikuwa muhimu ili waweze kuona wapi wanaweza kusaidia katika kuboresha kundi hilo. Aidha , alitoa wito kwa Watanzania hao wapya kuanza kuangalia uwezekano wa kuhamia katika maeneo mengine ya kuishi ili kuepuka tatizo la ukosefu wa huduma za jamii kama maji na elimu.
Serikali ya Tanzania imetoa uraia kwa wakimbizi wa Burundi 162,000 walioishi nchini 1972 na kuwa Watanzania. Ujumbe huo wa Mabalozi wa Umoja wa Ulaya nchini umesema utakwenda kukaa na baadaye ndio utatoa majibu iwapo wanaweza kusaidia na ni eneo gani.
MRADI WA MATREKTA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA TANZANIA
WAZIRI MWINYI AWATAKA WANAJESHI KUFUATA MIIKO NA TARATIBU ZAO WAKATI WOTE
NAY WA MITEGO, SHILOLE, KALA JEREMAYA WAANDIKA HISTORIADAR LIVE































Onesho hilo lililowashirikisha wasanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Nay wa Mitego, Barnaba, Shilole ‘Shishi Bay’, Kala Jeremiah na mabingwa wa vichekesho hapa nchini, Mkali Wenu na wenzake, hakika lilikuwa la aina yake na liliacha simulizi kubwa kwa mashabiki waliojitokeza kulishuhudia.
Onesho hilo lililoongozwa na DJ Ziro na DJ Max wa Dar Live ambao walizikonga nyoyo za mashabiki, lilianza kwa shamrashamra kwa wasanii waliopanda jukwaani kupiga shoo za utangulizi.
Nusura baadhi ya mashabiki hao wavunjike mbavu kwa vicheko kufuatia vichekesho vilivyoletwa na Mkali Wenu na wenzake kwani jamaa hao ni noma kwa kuvunja mbavu watu, hata walipomaliza kutoa burudani mashabiki waliwaita warudie tena nao wakafanya hivyo.
Ilikuwa kama mvua inataka kutibua onesho hilo lakini mashabiki hawakujali mvua ambayo ilikuwa inanyesha kwani waliendelea kula shangwe bila kujali mvua iliyokuwa inamwagika kwa wingi.
Hata Barnaba alipopanda jukwaani na wimbo wake wa Milele, aliwakuta mashabiki hao wameshapagawa na yeye kuwaongezea mzuka kwa burudani ya nguvu. Mashabiki hao walizidi kupagawa zaidi baada ya Barnaba kumpandisha jukwaani Shishi Baby na kuimba nae pamoja wimbo mpya wa Shilole wa Hatutoi Kiki. Shishi Baby alimpisha Kala Jeremiah ambaye aliwakuta mashabiki hao wamewehuka kwa burudani, naye akaongeza ngoma juu ya ngoma.
Ukumbi ulirindima zaidi baada ya Nay wa Mitego kuvamia jukwaa kwa wimbo wake wa Muziki Gani, mashabiki wakavamia jukwaa huku baadhi wakitaka japo wamguse. Nay aliweka historia kubwa ndani ya ukumbi huo wa taifa wa burudani uliopo Mbagala jijini hapa alipowatendea haki mashabiki hao kwa kuwadondoshea ngoma zake zote mwanzo mwisho.
Tazama Shoo Nzima ya Nay wa Mitego 'Wapo Concert' Dar Live - Mbagala
MAHAFALI YA 29 YA SHULE YA SEKONDARI ALHARAMAIN YAFANA
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shue ya Sekondari ya Al Haramain, Hairat Hashim akisoma Qur'an katika mahafali hayo.
Mwanafunzi Mohammed Fauz wa shule hiyo, akitoa mawaidha wakati wa mahafali hayo.
Mwalimu wa Nidhamu katika shule hiyo, Mwalimu Omar Hamad, akiwaongoza wanafunzi wa kidato cha tatu kughani kaswida wakati wa mahafali hayo ya 29, jijini Dar es Saaam jana.
Wanafunzi wa kidato cha tatu wakipiga dufu na kughani kaswida wakati wa mahafali hayo ya 29, jijini Dar es Saaam jana.
Rais mstaafu wa Serikali ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, mhitimu wa kidato cha sita, Hassan Hamisi akizungumza wakati wa mahafali hayo.
Rais mpya wa Serikali ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, mwanafunzi wa kidato cha tano, Salim Mruta, akitoa shukrani zake kwa wahitimu, wakati wa mahafali hayo.
Imam wa Msikiti wa Al Haramain, Sheikh Issa Kalunga, akitoa dua wakati wa mahafali hayo.
Wahitimu wa kike wa kidato cha sita wa shule hiyo, wakiwa kwenye ukumbi wa mahafali yao hayo jana.
Mwanafunzi wa kidato cha tano wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Omar Rajab, akisoma Qur'an katika mahafali hayo.
Mwanafunzi wa kidato cha tano wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Ally Athumani akitoa tafsiri ya Qur'an iliyosomwa katika mahafali hayo.
Baadhi ya wazazi na walezi wa wahitimu wa kidato cha sita, wakiwa kwenye ukumbi wa mahafali hayo, wakifuatilia matukio mbaimbali yaliyokuwa yakifanyika ukumbini humo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuh Jabir (wa pili kushoto), akiwa na baadhi ya walimu viongozi katika meza kuu katika mahafali hayo. Kushoto ni Mwalimu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
Hali ya ukumbi ulivyokuwa wakati wa mahafali hayo.
Wanafunzi wa kidato cha tano wa shule hiyo, Mwajuma Ahmad (kushoto) na Husna Khalid wakighani utenzi mbele ya mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (katikati, mwenye simu), akiwa meza kuu pamoja na Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa.
Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akimkaribisha Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (kushoto kwake) pamoja na kutambulisha walimu viongozi kwenye meza kuu. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa na kushoto ni Mwalimu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
Mhitimu wa kidato cha sita, Hassan Hamis (kushoto), akisoma risala ya wahitimu. Kulia anayemsaidia ni Waziri Hassan.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa, akizungumza wakati wa mahafali ya 29 ya kidato cha sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain. Kushoto ni Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka.
Wahitimu wa kidato cha sita, Yusra Said (kushoto) na Raiyan Hassan wakighani utenzi mbele ya mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka.
Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akisoma taarifa ya shule kwa Mgeni rasmi katika mahafali hayo ya 29 ya kidato cha Sita, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka (kulia), wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Mwalimu wa Taaluma, Mwalimu Rashid Kassim.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akizungumza na wahitimu hao, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al- Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 29 ya kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha Kiongozi Bora, mhitimu Khadija Mashaka, wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti Mwanafunzi Bora katika somo la Geography, mhitimu Mussa Baruti, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Hawa Gulamu, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Raiyani Hassan, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Sada Said, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Yusra Said, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Zaudia Ibrahim, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Bakari Gogoro, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Hassan Hamisi, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Israfil Ramadhani, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
Mgeni rasmi Sheikh Hamis Mataka, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha sita mhitimu Kibeku Ramadhani, wakati wa mahafali hayo, jana, jijini Dar es Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir.
DC UBUNGO KISARE MAKORE AAGIZA KUJENGWA DARAJA MBEZI MSUMK




MKUTANO WA 18 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR ES SALAAM
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo.
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo.
Mhandisi Steven Mrote kutoka Tanzania akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Eng.Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo.
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akimpongeza Eng.Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo.
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwanafunzi wa kitado cha nne aliyejishindia nafasi ya nne katika mashindano ya uandishi wa insha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Shule ya Sekondari Kibaha, Tanzania Joseph Mbogo