RC CHALAMILA: KARIAKOO SASA BIASHARA SAA 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa maandalizi ya kufanya biashara saa 24 sokoni Kariakoo yako ukingoni na uzinduzi utafanyika tarehe 22 Februari 2025."Hivi sasa tuko katika...
View ArticlePWANI WAITWA KUBORESHA TAARIFA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Chifu wa Mkoa wa Pwani Salim Mashiba akiwa kwenye picha ya pamoja na Meza kuu leo tarehe 01 Februari 2025 baada ya kupata mafunzo ya siku moja kutoka Tume ya Uchaguzi. Makamu Mwenyekiti wa Tume...
View ArticleDC MAGOTI APIGIA DEBE SAMIA STYLE
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti pichani juu aliwa amevalia mtindo wa vazi la Samia Style alilovaa kwenye sherehe za miaka 48 ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleWAZIRI MCHENGERWA: MUSWADA WA MAKAO MAKUU DODOMA UINGIE BUNGENI HARAKA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohammed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo kuhakikisha Muswada wa Sheria ya Usimamizi na...
View ArticleULINZI WAIMARISHWA MKUTANO WA WAKUU SADC NA EAC
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema kufuatia Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki...
View ArticleMLOGANZILA SASA YATOA HUDUMA KUJIFUNGUA KWENYE JAKUZI
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeanzisha huduma ya kinamama wajawazito kujifungulia katika jakuzi maalum (water birth).Huduma hiyo ambayo itapatikana kwa sh 1,500,000 sawa na kuweka sh...
View ArticleMANGO MABINGWA JAFO CUP 2024-25
Mhe.Dkt.Selemani Jafo pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisarawe akizungumza na Waandishi wa Habari hawapo pichani alipokuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya Jafo Cup iliyochezwa Manerumango Kisarawe Mkoani...
View ArticleMWILI WA MWANAMUZIKI MASHUHURI MAREHEMU TABIA MWANJELWA KUWASILI NCHINI JUMATATU
Marehemu Tabia Mwanjelwa pichani juu katika enzi za uhai wake.Mwili wa mwanamuziki mkongwe, marehemu Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani,...
View ArticleUWAMIZ WACHANGIA BENKI YA DAMU
Umoja wa Wajasiriamali zaidi ya 70 wa Mtaa wa Zigua na Mahiwa Kariakoo maeneo ya Msikiti wa Mtoro wamejitolea damu kwaajili ya maandalizi ya kuingilia mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni mwezi 28...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KUWASHA MWENGE YAMEPAMBA MOTO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari akizungumza na Waandishi hawapo picha.MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge ametoa wito kwa wakaazi wa Mkoa wa Pwani kujitokeza kwa wingi kwenye...
View ArticleKIMWANGA MWENYEKITI MPYA DCP
CHAMA Cha Waandishi wa Habari, Mkoa wa Dar es salaam (DCP), kimemchagua Bakari Kimwanga kuwa Mwenyekiti wake mpya.Bakari amefanikiwa kushinda nafasi hiyo kwa kura 68 akiwa ni mgombea pekee huku...
View ArticleALHAJI MANSOOR ATOA SADAKA YA RAMADHAN KONGOWE MKOANI PWANI
Alhaji Mussa Mansoor amesema kwamba amekuzwa katika utaratibu wa kusoma Dua ya kurehemu baba yake Mzazi ,Viongozi mbalimbali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wametamgulia mbele ya haki."Jambo...
View ArticleDKT.KAZUNGU AFANYA MAZUNGUMZO NA TAASISI YA AEE INTEC YA AUSTRIA
📌 *Yaeleza nia ya kuwekeza katika teknolojia mpya ya Joto la Jua (Solar thermal)*📌 *Solar thermal kutumika hospitali, viwanda, masoko ili kupunguza matumizi ya umeme* 📌 *Dkt.Kazungu aikaribisha...
View ArticleWAZIRI KABUDI KUZINDUA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI MACHI 3.
Na Mwandishi Wetu,JABWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB).Taarifa iliyotolewa na Katibu...
View ArticleRAIS SAMIA AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUPITIA MAPITIO YA SERA YA USAFIRISHAJI...
*📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga.**📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini.**📌Kapinga asema Tanga ni Mkoa muhimu...
View ArticleRAIS SAMIA AWAPAISHA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MADINI
📌 Dkt. Biteko asema uwezo wa wanawake sekta ya madini hautiliwi shaka📌 Ushiriki wa wanawake katika madini kukuza mnyororo wa thamani📌 Sh. Bilioni 10 kuwezesha wanawake wachimba madini ngazi ya...
View ArticleRAIS SAMIA: BARABARA YA HANDENI - KIBERASHI -SINGIDA IJENGWE KWA UBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga...
View ArticleRAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAWATAKIA WAISLAMU WOTE MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salaam za kuwatakia  Waislamu wote kheri na mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atuongoze na kutusimamia kwenye Ibada hii...
View ArticleMJUMBE KAMATI YA UTEKELEZAJI LUKUBA ANAWATAKIA WAISLAMU WOTE KHERI YA MFUNGO...
 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro Bi Sheila Edward Lukuba anawatakia Waislamu wote kheri ya mwezi mtukukufu wa Ramadhani
View ArticleVIJANA WA KIKE FEDHA MNAZOPATA MZITUMIE PIA KATIKA UWEKEZAJI- MKURUGENZI...
📌 *Asema inaongeza kujiamini*📌 *Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2025*Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Bi. Ziana Mlawa ametoa rai kwa...
View Article