TBL YQZINDUA KAMPENI YA 'CASTLE LITE UNLOCKS' JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleHIVI NDIVYO INTERNETI INAVYO ATHIRI MAISHA YAKO YA KILA SIKU
Na Jumia Travel TanzaniaHakuna kitu kinachoudhi kama kuwa sehemu na marafiki, familia au ndugu lakini unakuta kila mtu ameinamia skirini ya simu yake! Kwa kiasi kikubwa kuja kwa mtandao wa intaneti...
View ArticleKILA MTANZANIA AHAKIKISHE ANALINDA MUUNGANO
Na. Immaculate Makilika, MAELEZO -DODOMA Kila mtanzania ametakiwa kuhakikisha anafanya jitihada za kuimarisha na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa miaka 53 iliyopita. Akizungumza...
View ArticleIVORY YAPANIA KUPAA ANGA ZA MUZIKI WA DANSI
Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha Next Door kilichopo katika kitongoji hicho cha...
View ArticleSSRA YASHIRIKI MAONESHO YAUSALAMA MAHALI PA KAZI MKOANI K'NJARO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu, Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANIMHANDISI NDIKIRO AISHUKURU TANESCO KWA MSAADA WA USAFI
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikiri, (kulia), akipeana mikono na Kaimu Meenja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Leila Muhaji, wakati akipokea msada wa vifaa vya kufanyia...
View ArticleDKT. MWANYEMBE AHWATAKA VIJANA KUTENGA MUDA WA KUJISOMEA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mkwakyembe (kulia) akiwa amepokelewa na Mwandishi wa kitabu cha'Colour of Life' Ritha Tarimo siku ya uzinduzi wa kitabu hicho leo 30...
View ArticleNEC YATANGAZA NAFASI YA WAZI KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA DR. ELLY...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama...
View ArticleTAASISI YA KILIMANJARO DIALOGUE WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI
Mdhamini wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue, Habib Miradji (katikati) akiongoza mjadala jijini Dar es Salaam leo, kuhusu umuhimu wa wanahabari kuandika habari za kudumisha amani nchini ikiwa ni sehemu...
View ArticleUFAFANUZI KUHUSJ UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA IKIMWI
Kumekuwepo na taarifa iliyoandikwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii za Clouds Media Group za Facebook na Instagram ikimnukuu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe akisema kuwa...
View ArticleWAANDISHI WATAKIWA KUTUMIA KALAMU ZAO VIZURI
Na Nuru Juma & Husna Saidi- MAELEZO Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kuzingatia kanuni,sheria na taratibu za uandishi katika kuandika habari zitakazoleta umoja,mshikamano na maendeleo na siyo...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AMTUMBUA OFISA MIPANGO MIJI LINDI
Na Hassan Mabuye & Muhammad Salim Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameamuru kusimamishwa kazi Afisa Mipango Miji wa Lindi Ndugu Castory Manase Nkuli baada ya...
View ArticleATCL KUPATA NDEGE MPYA JULAI MWAKA HUU
Na Vicent Tiganya TaboraSerikali imesema kuwa mwezi Julai mwaka huu (2017)itanunua ndege nyingine mpya aina ya Dash 8-Q 400 kwa ajili kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania ili liliweze kutoa kutoa...
View ArticleBURIANI MWANAHABARI REVOCATUS BULIZYA
Marehemu Revocatus Bulizya enzi za uhai wakeWaombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwanahabari Revocatus Bulizya wakati ukiingizwa katika Kanisa la Katoliki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
View ArticleRC GAMBO AWALILIA WATOTO 32 WALIOFARIKI KWA AJALI KARATU
Pichani wanafunzi wakisubiri basi kabla ya kuanza safari ambapo walikutwa na mautiMwanafunzi mmoja aliyenusurika kwenye ajali hiyo jina halikufahamika.Mzazi wa mmoja wa marehemu akilia kwa...
View Article