TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFAFANUA HATMA YA UBUNGE WA SOFIA SIMBA
****************************************************Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASASTANDARD...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro...
View ArticleSERIKALI KUFANYA MAREKEBISHO SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DodomaSerikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imesema inaendelea na mchakato wa ndani wa kufanyia marekebisho ya kuhuisha na kuimarisha maeneo yaliyo mazuri ya sheria ya...
View ArticleTASNIA YA HABATI YAPATA PIGO, ISANGO AMEFARIKI DUNIA LEO
Mwanahabari Josephat Isango amefariki dunia leo saa moja asubuhi Mkoani Singida baada ya kuumwa kwa muda mfupi.Marehemu Isango atakumbukwa kutokana na mchango wake mkubwa katika uandishi wa habari...
View ArticleDAWASA UKINGONI KUKAMILISHA KAZI
Mafundi wa TANESCO wakiwa kwenye ukaguzi katika eneo la Chalinze (Sub-station) ambapo laini ya umeme unaoelekea katika mtambo wa Ruvu Juuinapoanzia.Mtaalam wa Kitengo cha Umeme Mkubwa wa Shirika la...
View ArticleASKOFU DKT.ALEX MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA KKKT USHARIKA...
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani kwa Yesu Kristo miaka 2000...
View ArticleWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAANZA KUKUSANYA MAONI KUTOKA KWA WADAU WA UTALII
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imewataka wadau wa Utalii nchini kutoa maoni na michango yenye tija itakayopelekea upatikanaji wa Sera bora itakayoleta ufanisi katika uendeshaji wa...
View ArticleDUKA LA KISASA LA GSM MALL LAUNGUA MOTO
Magari ya Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya Duka kubwa la GSM Mall tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza duka hilo katika Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo...
View ArticleRAIS MAGUFULI AAGIZA TCU KUTOWACHAGULIA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU VYUO
Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia vyuo wanafunzi wa elimu ya juu na kuwaacha...
View ArticleMIILI YA ASKARI NANE WALIOUAWA NA MAJAMBAZI KIBITI YAAGWA RASMI ,WAZIRI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa heshima za mwisho Dar es Salaam leo mbele ya majeneza yenye miili ya askari nane waliouawa na majambazi Kibiti wilayani Mkuranga mkoani Pwani...
View ArticleMKURUGENZI JIJI ARUSHA ATOA SEMINA KWA WATUMISHI WAKE
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athumani Juma KihamiaNa Mwandishi Wetu, ArushaMkurugenzi wa Jiji la Arusha Athumani Juma Kihamia amefanya kikao na watumishi wa serikali katika Kata ya Muriety na Terati...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATOA AJIRA KWA MADAKTARI 258 WALIOOMBA KWENDA KENYA
Na Daudi Manongi-MAELEZO, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameamua madaktari 258 na wataalamu wa Afya 11 walioleta maombi na kukidhi vigezo kupitia Wizara ya Afya kwa...
View ArticleDAWASCO YAKAMILISHA UPANUZI WA MTAMBO RUVU JUU SASA WAZALISHA MAJI SAFI NA...
Maji yakiingia toka katika mitambo ya kunyonya maji tayari kwa kusafishwa kwa kuweka dawa ndani ya eneo hili na kisha kupelekwa katika mtambo mwingine wa kusafisha maji tayari kwa kusafirishwa.Mtambo...
View ArticleMSANII WA BONGO FLEVA NILLAN AMPONDA SHILOLE
MSANII wa Bongofleva anayetamba na kibao cha ‘Njenje’ Gilbert Paul maarufu kama ’ Nillan' (pichani kulia) ameponda kitendo kilichofanywa na msanii mkubwa katika tasnia hiyo Zuwena Yusufu ‘Shilole’...
View ArticleVIJANQ DAR WAANZISHA KLABU ZA KUPINGA MABADILIKO
Mwezeshaji wa Kisheria wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Mariam Rashid (kulia), akitoa mafunzo ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa vijana wafanyabiashara katika Soko la Ilala Mchikichini jijini...
View ArticleWANAWAKE KANISA LA PENTEKOSTE WAOMBA AMANI NCHINI ISUMISHWE
Mwenyekiti wa Muungano wa Wanawake wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (MMPT) Misheni ya Kijitonyama, Maines Mhama (kulia), akimkabidhi maua mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wanawake wa kanisa...
View ArticleNGORONGORO KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI
Na Jumia Travel TanzaniaInaonekana mwaka 2017 umeanza vizuri katika sekta ya utalii nchini Tanzania kutokana na watu kadhaa mashuhuri kuzuru vivutio vyake. Sehemu ambazo zimeonekana kuwavutia watu...
View Article