Quantcast
Channel: BONGOWEEKEND
Browsing all 1906 articles
Browse latest View live

WIZARA YA NYUMBA NA MAENDENDELEO YA MAKAZI KUHAKIKI NYUMBA KWA MFUMO WA SIMU

Frank MvungiSerikali yaanza kutumia mfumo wa simu za mkononi kuwawezesha wamiliki wa ardhi kuhakiki na kuboresha taarifa zao za ardhi kote nchini.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Msemaji wa...

View Article


WAZIRI SIMBA CHAWENE AMSIMAMISHA OFISA BIASHARA ILALA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Anuani ya Simu: “TAMISEMI” Simu Na: (026) 2322848, 2321607 2322853, 2322420 Nukushi: (026) 2322116, 2322146 2321013 Barua pepe: ps@poralg.go.tz Tawala za...

View Article


MUADHAMA KADINALI PENGO ARIDHISHWA NA HUDUMA ZA AFYA KATIKA HOSPITALI YA...

Na Magreth Kinabo-MAELEZO Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam,Muadhama, Kardinali Pengo amesema kwamba ameridhishwa na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANT LATIFA MASASI ATOA HUDUMA ZA AFYA KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEWA KATIKA...

Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu ya mtoto Raban Mansur wakati alipotembelea kituo cha watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA KAONEKA NA MAPAMBANO KUZICHAPA FEB 14 TANDIKA

Mabondia Shabani Kaoneka kushoto akitunishiana misuli na Imani Mapambano baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana feb 14 katika ukumbi wa musoma bar uliopo tandika maguruwe katikati ni mdau...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI SAMATTA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELEZO WATAMBULISHA PICHA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT....

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Zamaradi Kawawa (Kushoto) na  Mkurugenzi Msaidizi Raphael Hokororo wakionesha picha rasmi  ya Rais wa Jamhuri  ya Muungano   wa  Tanzania   Dkt. John Pombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA MCHUMIATUMBO KUMKABILI BENK MWAKALEBELA JANUARY 30 KYELA MBEYA

Bondia Alphonce Mchumiatumbo kushoto akipokea mkataba alio saini kutoka kwa Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa kwa ajili ya kupambana na Benk Mwakalebela wa Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUMIATUMBO ASAINI KUPIGANA NA BENK MWAKALEBELA JANUARY 30

Bondia Alphonce Mchumiatumbo kushoto akipokea mkataba alio saini kutoka kwa Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa kwa ajili ya kupambana na Benk Mwakalebela wa Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUUJIZA WA KUPANDIKIZWA KWA UBOHO (BONE MARROW ) ULIVYO BADILISHA

The founder and Chairman of Apollo Hospitals Dr. Prathap .C. Reddy.Mara nyingi watu kutoka nchi zilizoendelea waishio na tatizo la damu na upungufu wa kinga mwilini huishi, tofauti na nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTB YAPANIA KUPANDA MITI MKOANI IRINGA

Na ImmaMatukioBENKI ya Diamond Trust Tanzania, imedhamini shughuli ya upandaji miti katika Wilaya ya Iringa iliyopo mkoani Iringa kwa kuchangia sh. milioni tano. Wilaya ya Iringa imeanza rasmi kupanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WANACHAMA WA TBN

Meneja wa Mfuko wa Afya ya Jamii, Slivery Mgonza akimkabidhi Mwenyekiti wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii (Bloggers-TBN) kadi za Bima ya Afya kwa baadhi ya wanachama wa TBN.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN MAGUFULI AMEMTEUA RAIS...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA AZINDUA DUKA LA DAWA LA MSD JIJINI MWANZA

 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto. Umy Mwalimu (kulia), akihutubia wakati akizindua rasmi duka la Dawa la MSD mkoani Mwanza jana ambalo liko ndani ya Hospitali ya SekouToure,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU ASHA BAKARI WAWASILI ZANZIBAR , MAZISHI LEO SAA NNE ASUBUHI...

Ndege ya Shirika la Ndege la Qatar ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikiwa na mwili wa marehemu Asha Bakari alifariki nchini Dubai akitoka  kwenye matibabu nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SSRA KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI

Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ernest Masaka (katikati), akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu mamlaka hiyo, kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KINONDONI KUONGOZA UPIMAJI WA MAGONGWA YA MOYO BURE KESHO KATIKA VIWANJA...

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YAPOKEA MAONI YA WADAU WA MAJI KATIKA MJI MDOGO...

Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce Msiru akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa...

View Article

TAMONGSO YATOA PONGEZI KWA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI

Na Beatice Lyimo-MaelezoDar es Salaam Shirikisho la wamiliki wa shule na vyuo visivyo vya serikali  TAMONGSO watoa pongezi kwa Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC), Dk.Ali Ali (katikati), Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Jumanne Issango (kushoto) na Naibu...

View Article
Browsing all 1906 articles
Browse latest View live