FEDHA , MKESHA WA AMANI KUOKOA VIFO VYWA WAJAWAZITO NA WATOTO
Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste,(Katikati) ambaye pia ni Askofu wa Huduma ya Tanzania Fellowship Churches (TFC), Askofu Godfrey Malassy alipokuwa akizungumza na Waandishi wa...
View ArticleWANANCHI WILAYANI GEITA WALALAMIKIA UCHAFU ULIOTUPWA 9 DISEMBA
Wanakijiji wa kijiji cha Shenda wilayani Geita wakiongea na waandishi wa habari waliotembelea kijiji hicho ambapo walilalamikia kutupwa kwa takataka katika kijiji hicho siku ya tarehe 9 ambapo...
View ArticleUBADHIRIFU WA FEDHA NA RASILIMALI WAPUNGUA KWA VIONGOZI KUHOFIA KUCHUKULIWA...
Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika pichaya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson...
View ArticleSHEIKH PONDA APASULIWA NGIRI
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Issa Ponda akisoma gazeti la Tanzania Daima nyumbani kwake Mabibo Jijini Dar es Salaam jana,(Picha na Francis Dande).NA KHADIJA KALILIAFYA ya...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI WA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.Walioteuliwa ni kama...
View ArticleUTAJIRI WA RIDHIWANI, HATA BILL GATES HAFUI DAFU!
Ridhiwani KikweteNA LUQMAN MALOTOUKIPANDA daladala huwa hakuna mfumo unaoeleweka, siku nyingine utakutana na kelele kama sokoni, wale wanaongea yao, hawa wanabishana hivi, hapa napo kuna...
View ArticleDROO YA 4 YA PROMOSHENI YA 'JAZA MAFUTA NA USHINDE ' YA GAPCO YAFANYIKA...
Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KAZI , VIJANA NA AAJIRA MH. ANTHONY MAVUNDE AFANYA...
Naibu waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde akizungumza na wafanyakazi wa tigo baada ya kufanya ziara mapema leo katika makao makuu ya Tigo kijtonyama jijini Dar es laam...
View ArticleJK,WAZIRI LWENGE WAKAGUA MITAMBO YA MAJI WAMI,CHALINZE
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa...
View ArticleAFISA BIASHARA DODOMA ATIMULIWA
TAARIFA KWA UMMA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw....
View ArticleLIGI KUU ZANZIBAR JKU vs KVZ IMESHINDA 2--0
Wachezaji wa Timu ya JKU wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya KVZ kabla ya kuaza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda 2--0.Mchezo uliochezwa...
View ArticleWAKALA WA HUDUMA YA MISITU WAWEKA ALAMA YA KUBOMOA NYUMBA YA MCHUNGAJI...
Juu ni nyumba ambayo iko maeneo ya Mbezi Beach ambayo imejengwa eneo ambalo ni sehemu ya hifadhi ya mikoko hivyo imetakiwa ivunjwe kabla ya Januari 5 ,2016 kabla ya kubomolewa kwa nguvu.Hii ni nyumba...
View ArticleNIMEPOKEA SALAMU NYINGI ZILIZONITAKIA HERI YA MWAKA MPYA LAKINI HII KUTOKA...
Mama fetty wang,Only a mother as perfect as you, could have a daughter as perfect as me.(Nisijisifie mchezo😁)ua de reason why i don sleep day n night,am workin not b'couv ov my self but kwaajili...
View ArticleMATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA MWAKA 2015
Na William KaijageBENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015, JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi...
View ArticleIRENTE VIEW POINT LUSHOTO TANGA, MOJA YA KIVUTIO AMBACHO WATU WENGI...
Hapa ndipo kileleni na Mwonekano wa Irente Hii ni Miamba mikubwa iliyopo Irente na moja ya kivutio kikubwa katika eneo hili kwa upande kwa Kushoto.Eneo hili wakazi wa Irente wanaliita Pango ambapo...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA BARUA PEPE KATIKA MAWASILIANO YAKE
Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kushoto) akipokewa na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Bakari Jabiri leo alipofanya ziara ya kikazi katika...
View ArticleTUWAJALI FOUNDATION WATOA MSAADA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B JIJINI DAR...
Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation Bi. Sifa...
View ArticleWASHINDI WA SAYANSI 2015, WAPAA KWENDA IRELAND
Wanafunzi John Method (kushoto) na Edwin Luguku (wa pili kulia) kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe mkoani Morogoro wakipokea hati zao za ufadhili kutoka kwa Karimjee na Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini,...
View ArticleWAMILIKI WA MAJENGO WAHIMIZWA KULIPA KODI
Na Skolastika Tweneshe- MaelezoWamiliki wa majengo katika Halmashauri ya Ilala wamehimizwa kulipa kodi ya majengo ili kufanikisha maendeleo ya nchi. Hayo yamesemwa leo na Afisa Uhusiano wa Halmashauri...
View Article