KITUO CHA AMANI JIJINI ARUSHA CHAPOKEA ZAWADI YA SIKUKUU KUTOKA MEGATRADE...
Meneja Masoko wa kampuni ya Megatrade kanda ya Kaskazini,Edmnd Rutaraka akizung4umza kabla ya kukabidhi zawadi kwa watoto waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Amani cha mjini...
View ArticleBALOZI AUGUSTINE MAHIGA ATEMBELEA KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA ARUSHA....
Baadhi ya watumishi wa AICCWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa,Balozi Augustine Mahiga(kulia)akiwasili kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Arusha...
View ArticleJAMII YETU IKO MIKONONI MWETU
Mratibu wa Vijana, Bahati Juma (wa kwanza kulia) akiwa na wanafunzi wa darasa la saba, shule ya Msingi Uchunga, kupitia pamoja somo la kiswahili kituoni hapo.Mabadiliko katika jamii yoyote kwa kiasi...
View ArticleWALIMU WAMEASWA KUWA WAZALENDO KUWAFUNDISHA WANAFUNZI NCHINI
Ofisa Elimu Vifaa na Takwimu Halmashauri ya Kibaha Vijijini Doris Semkiwa ambaye anamwakilisha Afisa Elimu wa Halmashauri ya Kibaha Vijijini akitoa mada kwa Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo...
View ArticleTEMEKE YAJIPANGA KUONDOA KERO YA TAKA
Na Raymond Mushumbusi -MaelezoManispaa ya Temeke imeandaa utaratibu wa kuondoa taka katika manispaa hiyo kwa kuongeza magari na vifaa ili kuyaweka mazingira katika hali ya usafi.Hayo yamesemwa na...
View ArticleRAIS DK.JOHN MAGUFULI MGENI RASMI MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA
(Video na Benedict Liwenga)
View ArticleBONDIA VICENT MBILINYI HAPANIA KUMCHAKAZA DEO NJIKU DESEMBA 25 MOROGORO
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi wakati wa maandalizi yake ya mwisho kucheza na Deo Njiku Desemba 25 katika uwanja wa...
View ArticleKAMPUNI YA MEGATRED YATOA MSAADA WA VYAKULA KWENYE KITUO CHA WATPTP YATIMA BOKO
Msimamizi mkuu wa mauzo kanda ya Pwani wa kampuni ya megatred Albert Kingu kushoto akimkabidhi msaada wa juice na vyakula kwa mtoto Hamis Khatibu anaelelewa katika kituo cha New life orphansi home...
View ArticleMABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO UWANJA WA JAMUHURI MOROGORO
Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro siku ya Desemba 25 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comMabondia Deo...
View ArticleBONDIA THOMASI MASHALI ALIVYO USAMBALATISHA UFALME WA FRANSIC CHEKA MOROGORO
Mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Mwanne Haji wakioneshana umwamba kastika mpambano wao wa ubingwa wa raundi kumi ambapo lulu kayage alibuka bingwa wa TPBC kwa kumpiga Mwanne kwa point Picha na...
View ArticleWAGHABISHI WAKOLEZA KASI YA MABADILIKO KISHAPU
Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa limekamilika kutokana na michango yao ya fedha na...
View ArticleWANAKIJIJI WA KIJIJI CHA ENGUSEROSAMBU WAFURAHIA MSITU KUREJESHWA MIKONONI MWAO
Mraghbishi Noorkiyengop Mbaima toka kijiji cha Enguserosambu akisimama mbele ya mifugo iliyokutwa msituni katika eneo lililoruhusiwa la msitu wa jamii wa EnguserosambuIlikuwa ni siku ya shangwe na...
View ArticleASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw...
View ArticleNGUMI ZA KUFUNGULIA MWAKA KUFANYIKA FREDS CORNER MANZESE JANUARY 2
Na Mwandishi WetuMABONDIA Selemani Galile 'Selemani Toll' na Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75 mpambano utakaofanyika january 2...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es...
View ArticleWAWEKEZAJI KATIKA MIGODI TANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAKAZI WAISHIO...
Baadhi ya Washiriki wa Mdahalao huo wakifuatilia mada iliyokuwa ikijadiliwa wakati wa mdahalo.Nchi mbalimbali duniani zimekuwa na sera mahususi kwa ajili ya kukaribisha wawekezaji mbalimbali kuja...
View ArticleSERIKALI IMESEMA TAMKO LAKE LA TIBA ASILI NA MBADALA LIKO PALEPALE
Na Magreth Kinabo- MAELEZO Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala palepale kwa kuwa lengo lake ni kuboresha huduma hiyo. Hivyo kama...
View ArticleDK. YASHA GULAT I: UTI WA MGONGO NI AFYA YA MGONGO
Dr. Yash Gulati, Senior Spine and Joint Replacement Surgeon at Apollo Hospitals;DelhiNa Mwandishi Wetu,Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi...
View Article