Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Zamaradi Kawawa (Kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi Raphael Hokororo wakionesha picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa waandishi wa habari hawapo pichani leo ambayo itatumika kwenye ofisi mbalimbali. Nakala ya picha hiyo inauzwa MAELEZO kwa Sh. 15,000 bila fremu.
↧