PANAFRICAN ENERGY YATOA YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI...
Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew Kangashaki (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi ya ujenzi wa nyumba ya...
View ArticleKOCHA WA MASUMBWI SUPER D AHIMIZA SWALA LA USAFI LIWE ENDELEVU
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akifanya usafi wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa...
View ArticleMABONDIA ZUMBA KUKWE NA SELEMANI GALILE WATAMBIANA KUZIDUNDA JANUARY 2 MANZESE
Mabondia Seleman Galile kushoto na Zumba Kukwe wakitunishiana misuli baada ya kusaini makubaliano ya kupigana january 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING...
View ArticleUZINDUZI WA FILAMU YA ‘GOING BONGO’ KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA KWENYE UKUMBI WA...
FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi imekamilika sasa kuzinduziliwa rasmi siku ya Ijumaa kwenye...
View ArticleWAFANYAKAZI WA ZANLINK ZANZIBAR WAJUMUIKA KATIKA USAFI ENEO LA KAZI KAMA...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MOSHI ,NOVATUS MAKUNGA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hosptali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro.Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Dar es salaam, Madereva wa boda boda wakiongoza maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake jijini Dar es salaam. Maandamano hayo yalianzia uwanja wa Tipi ulioko Sinza hadi katika hotel ya Blue...
View ArticleMWANAMUZIKI ROBERTO AMARULA KUTOKA ZAMBIA KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM, DODOMA...
Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda 'maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana , kuhusu...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ASIMAMISHA UJENZI WA NYUMBA...
Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi. Makamu wa Pili wa Rais wa...
View ArticleDROO YA PILI YA PROMOSHENI "JAZA MAFUTA NA USHINDE " KUTOKA GAPCO YACHEZESHWA
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde"...
View ArticleHOSPITALI ZA APOLLO MSTARI WA MBELE KATIKA KUOKOA MAISHA YA WAHANGA MAFURIKO...
Preetha Reddy, Makamu Mwenyekiti wa Hospitali za Apollo,Na Mwandishi WetuChennai ni jiji la tano kwa ukubwa nchini India, jiji hilo limepigwa na janga kubwa la mafuriko ambayo hayajawahi kutokea kwa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MOSHI WAJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAFI
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Moshi,Emanuel Kishosha akishiriki na wafanyakazi wenzake katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya uwanja wa michezo wa King George.Waganyakazi wa Benki ya NMB wa...
View ArticleBARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA NA RAIS MAGUFULI HILI HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia...
View ArticleDJ BON LOVE ALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WA BURUDANI KATIKA USIKU WA HEART&...
Mkali wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo...
View ArticleVICENT MBILINYI BONDIA MWENYE UCHU WA KUWA BINGWA WA DUNIA
VICENT MBILINYIBondia anayetamani mafanikioVICENT Mbilinyi miongoni mwamabondia wanaoanza kufanyavizuri katika medani ya masumbwihuku ndoto yake ikiwa ni kufanyavema kitaifa na kimataifa ilikujiweka...
View ArticleBONDIA VICENT MBILINYI AJIANDAA KUMKABILI DEO NJIKU DESEMBA 25
Bondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mapambano yao ambapo Mbilinyi anajiandaa kucheza na Deo Njiku desemba 25 na...
View ArticleWADAU WAPONGEZA GOING BONGO
Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifamba akiongea na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi filamu ya ‘Going Bongo’ uliofanyika jana Ijumaa WADAU mbalimbali waliofika kwenye onyesho la kwanza la...
View ArticleUPDATES ZA DADA JOYCE RICHARD MWAPEPO WA MBEYA ALIYELAZWA HOSPITALI YA TAIFA...
Ankal akiwa wodini kumtembelea dada Joyce Dada Joyce alipowasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopitaDada Joyce akiwa wodini MOINdugu Wasamaria Wema,Tunapenda kutumia fursa hii...
View Article