MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO
Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi. Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka...
View ArticleMAHAFALI YA TATU (3)SHULE YA AWALI YA GOOD SHEPHARD ACADEMY YAFANA JIJINI MBEYA
Baadhi ya walimu wa shule ya Awali ya Good Shephard Academy iliyopo Forest Jijini Mbeya Katika Picha ya Pamoja na watoto walio hitimu masomo yao Kg 3 ambapo sherehe za kuwaaga watoto hao zilifanyika...
View ArticleMKAZI WA DAR ES SALAAM AKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA AKIWA NA MENO YA...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi Na Emanuel Madafa,Mbeya Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia Lukas Wambura (38) Mkazi wa Banana – Dar es salaam mwenye shahada ya dharura ya...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA CHUMBUNI USSI SALUM PONDEZA AWATEMBELEA WANANCHI WA JIMBO...
Mbunge wa Jimbo la Chumbini Zanzibar Mhe Usssi Salum Pondeza AMJAD akiwatembelea Wananchi wake waliopata madhara ya kuingiliwa na Maji katika Nyumba zao wakati wa mvua za Vuli zilizonyesha hivi karibu...
View ArticleRAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI
Msimamizi wa Uchaguzi wa nafasi ya Meya ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Makabayo akizungumza jambo wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi huo.Baadhi ya Madiwani...
View ArticleMABONDIA THOMASI MASHALI NA FRANSIC CHEKA WATAMBIANA KUZIDUNDA DESEMBA 25...
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakitunishiana misuli wakati wa kutambulisha mpambono wao utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Desemba 25 Picha na SUPER D BOXING...
View ArticleLUKAZA BLOG YALETA TUNZO NYUMBANI , ASANTENI WASOMAJI , WATEMBELEAJI NA...
Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza akiwa ameshikilia Tunzo aliyoshinda katika Kipengele cha Blog Bora ya Siasa katika Shindano la African Blogger Awards 2015 lililofanyika nchini Africa Kusini...
View ArticleMODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.
Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani Mwanga,Isack Msuya akimuongoza Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji,Francesca...
View ArticleMABONDIA YONAS SEGU NA MFAUME MFAUME WASAINI MKATABA KUZIPIGA FEB 20 MANZESE
Mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Yonas Segu wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga feb 2o katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni Promota wa mpambano wa...
View ArticleABDALLAH LUWANJE NA SHEDRACK IGNAS WATAMBIANA KUPIGANA KATIKA MPAMBANO WA...
Mabondia Shedrack Ignas kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Luwanje baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga januari 2 katika ukumbi wa frends corner manzese Picha na SUPER D BOXING NEWSMabondia...
View ArticleRC KILIMANJARO ,AMOSI MAKALA AWASIFU WAANDAAJI WA BONANZA LA MADESHO DAY
Timu ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye. Timu za Maveterani wa KIA na Kitambi noma ya Arusha...
View ArticleMRAGHABISHI MAIMUNA SAIDI AGEUKA SHUJAA WA KIJIJI CHA MWIME KAHAMA
Ofisi za kijiji hicho cha Mwime kilichopo kata ya Mwendakulima wilayani Kahama Ziara niliyofanya katika Kijiji cha Mwime kata ya Mwendakulima wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga mwishoni wa...
View ArticleMKUTANO WA MWAKA WA WATAALAMU WA MANUNUZI NA UGAVI WAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa...
View ArticleCHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU) CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada ,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho.Wahitimu wa kozi mbalimbali...
View ArticleMKUU WA MAJESHI MSTAAFU,JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa...
View ArticleVIJANA WASHAURIWA KUWA NA MOYO WA KUJITOLEA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akitoa nasaa zake kwa Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali hapa...
View ArticleHABARI NJEMA : MICHANGO YA WASAMARIA WEMA YAFANIKISHA DADA JOYCE WA MBEYA...
Ndugu Wasamaria wema,Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80...
View ArticleVIJANA WENGI WANUFAIKA NA KONGAMANO LA MSAFARA LILILOFANYIKA CHUO KIKUU CHA...
MC Suhaila Thawer akiendelea kutoa utaratibu wa wazungumzaji jana tarehe 4.12.2015 Mjasiliamali Maarufu na Mtoa ushauri wa biashara na mambo mbalimbali James Mwang'amba, alitoa Historia ya Maisha...
View ArticleLORRAINE AT MISS UNIVERSE 2015
Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania 2015 poses for a photo at The Venetian in Las Vegas, Nevada on Monday, December 7th. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and...
View Article