RAIS MWINYI:UNESCO ISAIDIENI ZANZIBAR KATIKA UCHUMI WA BULUU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amelishauri Shirika la Elimu , Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuisaidia Zanzibar kuendeleza Uchumi wa...
View ArticleRAIS MWINYI AIPONGEZA STANBIC KUWA MSHIRIKA WA MAENDELEO ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameipongeza Benki ya Stanbic kwa kuwa mshirika wa maendeleo Zanzibar na kwa kuleta suluhisho za kifedha zenye manufaa...
View ArticleBLOGGERS MEET WITH UDSM EXPERTS TO DISCUSS TCRA
By Rahel PallangyoIt has been stated that the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) can help ensure that blogs operate effectively and in accordance with the law, while protecting freedom...
View ArticleArticle 3
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AFANYA ZIARA YA KIKAZI CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI, ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA ASKARI KAPERA WANAWAKEWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa...
View ArticleDKT.YONAZI AONGOZA KIKAO CHA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI (AFDP)
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu na watendaji kuhusu masuala ya Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvivu (AFDP)Kikao hicho...
View ArticleMHE. RIDHIWAN KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA...
Na Mwandishi Wetu, ArushaWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwan Kikwete ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) katika...
View ArticleWANANCHI WAFURIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Na Mwandishi Wetu , ArushaKufuatia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotegemea kufanyika Kitaifa Jijini Arusha Tarehe 8 Machi, 2025, yaliyotanguliwa na maonesho na utoaji wa Elimu...
View ArticleWANAWAKE 400 WASHUHUDIA 'BIG FIVE' HIFADHI YA NGORONGORO
Na Philomena Mbirika, Ngorongoro KretaKatika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, wanawake zaidi ya 400 kutoka taasisi za serikali na sekta binafsi wemetembelea hifadhi ya...
View ArticleNMB WACHANGIA SHULE NA ZAHANATI MKURANGA
Benki ya NMB imeungana na kusherehekea pamoja katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa michango ya madawati 100 na vitanda20 kwa Shule na mabati 100 kwa ajili ya kuezeka Zahanati...
View ArticleKAMISHNA DKT. DORIYE ACHAMBUA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA MAMLAKA YA HIFADHI YA...
Na Hamis Dambaya, DodomaKamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye amesema kuwa mamlaka hiyo imefikia malengo ya ongezeko la watalii na ukusanyaji wa mapato kwa miaka...
View ArticleRC KUNENGE AFTURISHA WATOTO 400
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amewafuturisha watoto yatima 400 wakiwemo wanaoishi kwenye mazingira magumu kutoka Wilaya tofauti za Mkoa wa Pwani kwenye hafla ya...
View ArticleTANZANIA YATANGAZA UTALII NCHI ZA ULAYA MAGHARIBI
Na Mwandishi wetu, Cologne Ujerumani.Tanzania inashiriki katika msafara wa kunadi vivutio vya utalii katika nchi za Ulaya Magharibi ulioanza tarehe 10- 15 machi 2025 ambapo wauzaji na wanunuzi katika...
View ArticleVYAMA VYA SIASA TUNAWAJIBU WA KUPINGA RUSHWA
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Ally Hapi amevitaka vyama vilivyoshiriki harakati za ukombozi wa Nchi za Kusini mwa Afrika vijitenge na rushwa kwa nguvu zao zote ili vyama hivyo...
View Article