WANANCHI KIJIJI CHA NSEKWA WILAYANI MLELE WAIPONGEZA TARURA UJENZI WA...
Wananchi wa Kijiji cha Nsekwa, Kata ya Nsekwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wametoa pongezi zao kwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa...
View ArticleWAZIRI MCHENGERWA AFUNGA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA MPIGA MPIGA KURA
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI ) Mohammed Mchengerwa leo 20,Oktoba 2024 amefunga zoezi la kujiandikisha kupiga kura na kutoa taarifa ya siku tisa ya...
View ArticleTARURA YAUNGANISHA VIJIJI VYA IFINSI, KAMBANGA NA BUGWE WILAYANI TANGANYIKA
Tanganyika, KataviWakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa vivuko na daraja la Mto Mnyamasi lenye urefu wa mita 20 pamoja na kufungua barabara ya Kambanga-Ifinsi yenye...
View ArticleRC KUNENGE AFUNDA VIONGOZI WA VIONGOZI WA MASHIRIKA YA UMMA
RC Kunenge akizungumza na Viongozi wa Mashirika ya Umma kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Uongozi yaliyoanza tarehe 20 hadi 26 Oktoba,2024.Kibaha,PwaniMKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amesema...
View ArticleTANZANIA YAPATA TUZO NNE ZA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Pindi Chana amepokea Tuzo nne za Utalii ambazo Tanzania imeshinda kupitia World Travel Awards-Africa Gala zilizofanyika Mombasa, Kenya mwishoni mwa wiki.Hafla hiyo...
View ArticleKUPAA KWA UCHUMI TANZANIA KUTAONGEZA UWEKEZAJI:MAKOBA
Na Mwandishi wetu, Dodoma Imeelezwa kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), inayoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa uchumi kwa asilimia sita mwaka 2025,...
View ArticleCDF JACOB MKUNDA AWAVISHA NISHANI MAJENERALI, MAAFISA NA ASKARI UNGUJA...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na...
View ArticleMAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO(NCAA) YASHIRIKI MAONESHO NA KONGAMANO LA...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki Maonesho na Kongamano la Uwekezaji na Utalii linalofanyika tarehe 25 na 26 Oktoba 2024, Dimani, Fumba, Zanzibar. Katika maonyesho hayo, NCAA...
View ArticleIDARA YA HABARI BARA, ZANZIBAR KUIMARISHA USHIRIKIANO
Na Mwandishi wetu, ZanzibarMkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, amesema kuwa Idara ya Habari (Maelezo) Tanzania Bara na Idara ya Habari (Maelezo)...
View ArticleWAKONGO WAGOMA KUZIKA BINTI YAO
pichani ni marehemu Berliss Mujinga enzi za uhai wake.Wakati huohuo babamdogo wa marehemu Mchungaji Enock Ambroseo amesema kuwa marehemu Berliss na baba yake wameingia nchini kwa miezi mitatu...
View ArticleUWEKEZAJI SEKTA YA MASHIRIKA YA UMMA UMEFIKIA TRILIONI 86
Kibaha, Pwani Mkurugenzi wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki amesema uwekezaji wa serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia shilingi trioni 86 kufikia mwaka 2024 hivyo...
View ArticleHEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA...
Na Makinikia,TangaJijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ambapo...
View ArticleEFTA YAFADHILI 5 KWENDA UTURUKI KUJIFUNZA KUHUSU KILIMO CHA KISASA
EFTA yafadhili wakulima Watano Kutembelea Uturuki Kujifunza Kilimo: Safari ya Kubadilishana Maarifa na Ubunifu wa KilimoNa Magesa MagesaOctoba, 2024.Dar es Salaam.Katika juhudi za kuhakikisha wakulima...
View ArticleMAELEZO WATETA NA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, leo Oktoba 31, 2024 amekutana na Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi...
View ArticleDC KISARAWE PETRO MAGOTI ATOA WITO KWA JESHI LA AKIBA KUTO RUBUNIWA NA WANASIASA
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya jeshi la akiba ambayo yamefanyika leo tarehe 1,Novemba ,2024 Kata ya Manerumango Mkoani Pwani.Manerumango, Kisarawe...
View ArticleDC MAGOTI APITA MEZA KWA MEZA HARAMBEE YA UJENZI WA JENGO LA VIP KISARAWE
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe.Petro Magoti akichukua mawasilianano ya mdau ambaye ameahidi kuchangia fedha kiasi ambacho hakutaka kitangazwe kwenye hafla ya Kisarawe Afya Gala kwa ajili ya ujenzi...
View ArticleNCAA YASHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA AMAIZING TANZANIA NA MAADHIMISHO YA...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika uzinduzi wa filamu ya Amazing Tanzania pamoja na maadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China iliyofanyika tarehe...
View ArticleNCAA YANADI VIVUTIO VYA UTALII MAONESHO YA “WORLD TRAVEL MARKET LONDON”...
Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki Maonesho ya “World Travel Market London 2024” ambayo yanafanyika katika jiji la London, Uingereza kuanzia tarehe 5- 7 Novemba, 2024. Maonesho...
View ArticleWAKAZI WA PONGWE WATOA SHUKRAN KWA JWTZ
Wakazi wa kijiji cha Pongwe Msungura kilichoko Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani wamelishukuru Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa msaada mkubwa iliyoutoa kwa watoto wao.Akizungumza kwa niaba ya...
View ArticleMUFTI NA SHEIK MKUU WA TANZANIA APONGEZA MRADI WA KUTAFSIRI QUR’AN TUKUFU...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zubeiry bin Ally, amempongeza Dkt. Shehnaz Shaikh kwa kazi yake ya kujitolea katika kuandaa tafsiri ya Qur’an neno-kwa-neno kwa lugha ya Kiswahili....
View Article