Quantcast
Channel: BONGOWEEKEND
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1915

MAELEZO WATETA NA IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA

$
0
0
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, leo Oktoba 31, 2024 amekutana na Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi ambapo wamejadiliana kuhusu kushirikiana kuitangaza idara hiyo na kuboresha uhifadhi wa nyaraka hizo kidijitali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1915

Trending Articles