WATAFITI WAUNGANISHWA NA WAANDISHI WA HABARI, EGPAF NAO WANENA JUU YA ELIMU...
Rais wa Tanzania Health Summit, Dkt Omary Chilo (kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi wa ResearchCom, Dkt. Syriacus Buguzi baada kumaliza kuzindua ushirkiano wa mawasiliano ya kisayansi wakati wa...
View ArticleTANZANIA, BIOVENTURE FOR GLOBAL HEALTH (BVGH) KUIMARISHA HUDUMA ZA SARATANI
NWAF - Washington DCSerikali ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani ili kuimarisha huduma za Saratani nchini...
View ArticleWAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA JENGO LA ZBC RADIO...
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la...
View ArticleCPA. MAKALLA AKAGUA UWANJA WA MPIRA WA KMC | UNAOMILIKIWA NA MANISPAA YA...
 Katibu wa NEC, itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Gabriel Makalla leo Julai 17, 2024 amekagua uwanja wa Mpira wa Miguu unaomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya...
View ArticleUNDERSTANDING THE REASONS BEHIND THE VOLUNTARY RESETTLEMENT OF NGORONGORO...
By Our Correspondent, Ngorongoro.For nearly two years, the initiative to resettle residents living within the Ngorongoro Conservation Area (NCA) has been underway, with residents voluntarily choosing...
View Article*MABULA: NCAA ENDELEENI KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII NA KUYATANGAZA.*
 Na Kassim Nyaki, Ngorongoro.Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii anayeshughulikia utalii -Nkoba Mabula ameielekeza Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kuendelea kubuni mazao...
View ArticleRAIS DK SAMIA APONGEZWA UZINDUZI WA RELI YA MWENDOKASI (SGR)
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuzindua treni ya mwendokasi ya (SGR) kwenda Dodoma kuwa ni tukio la kishujaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa nchini.Hayo yamesemwa Mjini Kibaha na...
View ArticleUNESCO Experts Mission meet Hadzabe, Datoga and Iraqw Communities to assess...
By our correspondent, Karatu.UNESCO experts who arrived in Tanzania to revalidate the Ngorongoro-Lengai UNESCO Global Geopark have visited Karatu and Eyasi divisions to visit Iraqw, Hadzabe and Datoga...
View ArticleCHALINZE MODERN ISLAMIC WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO HOSPITALI YA RUFAA TUMBI
ConversatioWanafunzi hao wakiwa katika picha na mwalimu wao wa somo la Sayansi Rashid Hamis StambuliMuuguzi wa zamu kitengo cha kusafisha figo Joyce Mfyuji akiwaelekeza jambo wanafunzi hao Dkt bingwa...
View ArticleUJUMBE WA UNESCO WAHITIMISHA ZIARA YA KUKAGUA MAENEO YA HIFADHI YA JIOLOJIA...
 Na Kassim Nyaki, NCAA.Wataalamu wa UNESCO waliowasili nchini mapema wiki hii kwa ajili ya uthibitishaji upya (Revalidation) wa Hifadhi ya kijiolojia ya "Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark" na...
View ArticleWAUGUZI KATOENI HUDUMA KWA KUMTANGULIZA MUNGU -KIMITI
 ALIYEKUWA Kada wa Chama na kiongozi aliyeshika nyadhifa mbalimbali Serikalini Mbunge Mstaafu Sumbawanga Paul Petro Kimiti amewataka Wauguzi kote nchini kutoa huduma hiyo kwa wahitaji kwa...
View ArticleSERIKALI YAHITIMISHA KWA MAFANIKIO ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU YA FEDHA MKOANI...
 Na Chedaiwe Msuya, WF, MtwaraSerikali kupitia Wizara ya Fedha imehitimisha mafunzo ya elimu ya fedha Mkoani Mtwara ikiwa ni juhudi za kuimarisha uelewa wa masuala ya kifedha miongoni mwa wananchi....
View ArticleHALMASHAURI YA CHALINZE YATENGA KIASI CHA BIL.17 KATIKAMSIMU UJAO
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Hassan Mwinyikondo akizungumza na Madiwani leo Agosti 6 katika kikao cha Baraza la Madiwani Chalinze. Baadhi ya Wabunge wakiwa katika kikao cha Baraza hilo.Na...
View ArticleUWT YALAANI VIKALI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA UKATILI WA KIJINSIA,YAAHIDI...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mama Mary P. Chatanda (MCC) amelaani vikali kitendo kilichofanywa na vijana watano kumbaka na kumlawiti binti mkazi wa Temeke Jijini Dar Es SalaamAkizungumza na vyombo vya...
View ArticleBANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII LAVUTIA MAONESHO YA NANENANE DODOMA
Baadhi ya wananchi wakiangalia mubashara bidhaa mbalimbali katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanya vya Nzuguni Jijini Dodoma Na Kassim...
View ArticleDKT.NCHIMBI APIGA HODI KAGERA
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kumlaki Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Nchimbi ambaye ameingia leo mkoani humo ambapo atafanya ziara ya siku sita. Katibu Mkuu wa CCM John...
View ArticleRAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AMEWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA SIGARA MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi kiwanda cha Sigara cha Serengeti SCC Mkoani Morogoro leo Agosti 6.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....
View ArticleTMDA YATOA UFAFANUZI UVUMI WA DAWA YA PARACETAMOL INAYODAIWA KUBABUA NGOZI
Na Andrew Chale MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)iliyo chini ya Wizara ya Afya, imetoa taarifa kwa Umma ufafanuzi kuhusu uvumi juu ya Dawa ya Paracetamol inayodaiwa kubabua ngozi.Kwa mujibu wa...
View ArticleRC TANGA DKT.BATILDA BURIANIATIA MKONOTASWA MWAMBAO MARATHON
Mwandishi Wetu, TangaMkuu wa mkoa wa Tanga, Dk Batilda Buriani amesema atahakikisha mbio zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, TASWA za TASWA Mwambao Marathoni...
View ArticleTAKUKURU WAOKOA ZAIDI YA BIL.1 HALMASHAURI YA KIBAHA
Waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo.Kaimu Kamanda wa TAKUKURU  Mkoa wa Pwani Ally Sadiki akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Hawapo pichani.Na Mwandishi Wetu, KibahaTAASISI ya...
View Article