WAGOMBEA SITA URAIS WA TFF USO KWA USO TBC1
‘Wagombea sita wa Urais TFF uso kwa uso kwenye kipindi maalum leo Ijumaa saa 3 usiku, mbashara ndani ya TBC 1 na TSN online.’ KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) pamoja na Shirika la Utangazaji...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA MADARASA SITA KATA YA...
MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete,amewahimiza wananchi kujenga tabia ya kujitolea katika shughuli za kimaendeleo pasipo kuachia serikali/halmashauri na wahisani pekee. Aidha amesema ofisi...
View ArticleKILIMO CHENYE TIJA BILA YA KUWA NA SOKO LA UHAKIKA NI KAZI BURE KWA MKULIMA
Mkuu wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Selemani Mzee, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya namna ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani wa...
View ArticleUVCCM YAWATAKA WFANYAKAZI WA UMMA KUTENGANISHA SIASA NA MAENDELEO
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Viongozi Mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake Mara baada ya kuzuru...
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ANAIWAKILISHA NCHI KWENYE MKUTANO WA SKAUTI DUNIANI
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anahudhuria Mkutano Mkuu wa Skauti wa Dunia ambao unafanyika jijini Baku, Azerbaijan. Akiikisha Chama Cha Skauti Tanzania akiwa na wajumbe...
View ArticleIKUNGI CUP YAZINDULIWA RASMI
SERIKALI imekuwa ikifanya jitihada za dhati katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu ya elimu ikiwemo ujenzi wa vyumba...
View ArticleTANZANIA RATED BEST SAFARI COUNTRY 2017
THE NETHERLANDS – SafariBookings.com has conducted an in-depth analysis of reviews from safari tourists and acclaimed Africa experts to determine the continent’s best country for safaris. And the...
View ArticleBONDIA SELEMANI SIMBA HAPANIA KUTOA KICHAPO KWA MABONDIA KUANZIA AGOST 26 VIJANA
Na Mwandishi WetuBONDIA wa ngumi za kulipwa kutoka Singida Selemani Simba 'Singida Unaited' amendelea na mazoezi ya kujifua kwa ajili ya mpambano wake wa Agost 26 utakaofanyika katika ukumbi wa Vijana...
View ArticleMABONDIA BAINA MAZOLA NA FRANSIC MIYEYUSHO WAZIDI KUTAMBIANA KUMALIZA UBISHI...
Na Mwandishi WetuMABONDIA Baina Mazola 'Simba Mazola' na Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wamendelea kutambiana kwa ajili ya mpambano wao ujao utakaofanyika Agost 26 katika ukumbi wa Vijana Kinondoni...
View ArticleKINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI TANO ZA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akiwa katika mazungumzo na Mabalozi wa nchi tano za Ukombozi Kusini mwa Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini, alipokutana nao katika Ofisi...
View ArticleJANUARI MAKAMBA AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA DIASPIORA ZANZIBAR
Na Mathias Canal, ZanzibarKongamano la nne la Watanzania waishio ughaibuni (4th Tanzania Diaspora Conference) limefunguliwa jana tarehe 4 Agosti 2017 kwa kuwashirikisha washiriki wapatao 350, ambapo...
View ArticleMABONDIA KIVU ABDI NA CHESA BULI KUPAMBANA OCKTOBA 20 MANYARA PARK
MABONDIA KIVU ABDI NA CHESA BULI KUPAMBANA OCKTOBA 20 MANYARA PARKBondia Chesa Buli kushoto akitunishiana misuli na Kivu Adbi baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga Ocktoba 21 katikati ni...
View ArticleMABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO VIJANA KINONDONI
Mabondia Baina Mazola kushoto akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao jumamoso Agost 26 katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Picha na SUPER D BOXING...
View ArticleDKT. MWINUKA AWAPONGEZA WAHANDISI WANAWAKE TANESCO
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka, (kushoto), akipokea kikombe (tuzo), kutoka kwa Mwakilishi wa Wahandisi wanawake kutoka Shirika hilo, Mhandisi...
View ArticleWAZIRI MWIGULU ATOA MWEZI MMOJA JWA BODAHODA KUNUNUA KOFIA NGUMU
****Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameagiza waendesha bodaboda wote nchini kuhakikisha kuwa wanakuwa na kofia ngumu ‘Helmet’ ndani ya mwezi mmoja baada ya hapo hatua kali...
View ArticleBONDIA IDDI MKWELA ASEMA KAMOTE NA MFAUME MFAUME WANANIKIMBIA
Na Mwandishi WetuBONDIA Idd Mkwela baada ya kumsambalatisha bila ya huruma bondia Adam Ngange hivi karibuni amekuwa katika wakati mgumu wa kupata mapambano zaidi kwa kuwa mabondia wa nchini kwa sasa...
View ArticleDC KIBAHA ATOA MWEZI MMOJA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama ametoa mwezi mmoja kwa wavamizi wa eneo la hifadhi ya msitu wa Dutumi kuondoka mara moja ifikapo Oktoba 4 mwaka huu.DC Assumpter amesema hayo baada ya kwenda...
View ArticleGROUP LA WHATSAPP LA AFYA YANGU LATOA MSAADA KWA WAJAWAZITO MLANDIZI MKOANI...
Msimamizi Mkuu wa Kundi la WhatsAPP la AFYA YANGU, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijamii wa Habarika 24, Shabani Lulale (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Kibaha Vijijini, Humoud...
View Article