TFF YAMFUNGUA PINGU HAJI MANARA NA WENZAKE
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefuta adhabu dhidi ya wanafamilia wanne waliofungiwa kushiriki masuala la soka kwa mwaka mmoja. Wanafamilia hao ni Mwenyekiti wa...
View ArticleBANK OF AFRICA YAKABIDHI RASMI MTAMBO WA UJENZI AINA YA GREDA KWA MTEJA WAKE
Naibu Mkurugenzi mtendaji wa BANK OF AFRICA TANZANIA Bw. Wasia Mushi akikabidhi mfano wa funguo kuashiria makabidhiano ya Greda kwa Mteja Bw. T Hitesh Vishram ambae ni Project Supervisor wa Kampuni ya...
View ArticleKUTANA NA TYRESE 'BANYE' AACHIA WIMBO WAKE BROWN COLOUR
Elias Banyenza nduo jina alilopewa na wazazi wake, lakini unafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki ana unaoupenda zaidi. Banye alianza kuimba akiwa Sunday Schools na...
View ArticleUONGOZI MPYA TAGCO WAKABIDHI USUKANI
Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali, (TAGCO), ambaye amemaliza muda wake, Bw. Innocent Mungy, (wapili kulia), akimkabidhi nyaraka za chama, Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Bw....
View ArticleWAZIRI MAGHEMBE APOKEA MABILIONEA 28 SERENGETI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Mabilionea 26 kutoka taasisi ya Young Presidents Organisation (YPO) wakiwa na wenza wao katika moja ya hoteli ndani ya Hifadhi ya...
View ArticleIGP SIRO ALIPONGEZA JESHI LA POLISI SINGIDA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipiga saluti wakati wa paredi ya Polisi iliyoandaliwa lililoandaliwa kwa ajili yake kulikagua mapema leo kwenye viwanja vya kambi ya FFU mjini hapa....
View ArticleMABONDIA IDD MKWELA VICENT MBILINYI SELEMANI SIMBA NA ROLEN JAPHERT WAENDELEA...
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agost 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es...
View ArticleSIMBA CHAWENE SEKTA YA KILIMO BADO NI MUHIMILI WA UCHUMI TANZANI
Na Mathias Canal, LindiSekta ya Kilimo imetajwa kuwa bado ni muhimili wa uchumi wa Tanzania kwa kuwa inatoa ajira kwa asilimia 65.5 ya Watanzania na kuchangia zaidi ya asilimia 100 ya chakula hapa...
View ArticleUMOJA WA ULAYA KUOKOA WASICHANA WASICHANA 3,738 KUKEKETWA NA NDOA ZA UTOTONI
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZOJumla ya wasichana 3,738 wa Mikoa ya Mara na Geita wanategemea kunufaika na mradi wa Kuzuia Ndoa za Utotoni na Ukeketaji unaofadhiliwa na Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) na...
View ArticleSTAR MEDIA YADHAMINI LIKI YA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAA
02/ 08// 2017CHAMA Cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (RBA ) leo kimemtambulisha mdhamini wa Ligi yake inayoendelea ambaye ni Kampuni ya Star Media atakaye dhamini gharama zote za...
View ArticleMAKONDA , RUGE, ALL STARS WANOGESHA SHEREHE ZA UWEKAJI JIWE LA MSINGI BOMBA...
Wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars wakijiandaa kupanda jukwaani kutumbuiza kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi...
View ArticleMABONDIA BAINA MAZOLA NA FRANSIC MIYEYUSHO KUZIPIGA AGOST 26 KINONDONI
BONDIA BAINA MAZOLA 'SIMBA MAZOLA' KUSHOTO NA FRANSIC MIYEYUSHO 'CHICHI MAWE' KUSHOTOMwandishi WetuMABONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' na Baina Mazola 'Simba Mazola' wameingia mkataba wa...
View ArticleMAREFARII WA TPBC WAKUTANA NA MWAKYEMBE
Marefarii na majaji wa mchezo wa masumbwi nchini wakiwa katika picha ya pamoja na waziri wa habari sanaa utamaduni na michezo Herrisson Mwakyembe wakati wa kumpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakulima, wadau wa kilimo na wananchi kwa ujumla wakati wa kufunga maadhimisho ya sikukuu ya wakulima, (Nane...
View ArticleMGOMBEA KITI CHA URAIS TFF SHIJA ROBERT SHIJA AANIKA MIKAKATI YAKE
MGOMBEA wa nafasi ya Urais Shija Robert Shija mwenye shati jeupe na tai ya bluu, anayefuata kuli ni Mwanahabari Muandamizi wa Kituo cha Azam TV na kutoka kushoto ni Mwanahabari kutoka gazeti la...
View Article