YUSUF SINGO ACHAGULIWA KUWA MKURUGENZI IDARA YA MAENDELEO YA MICHEZO
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Yusuph Singo Omari
View ArticleMABONDIA MFAUME MFAUME NA MUDDY MATUMLA WATAMBIANA KUZIPIGA FEB 5 TAIFA
Bondia Mfaume Mfaume kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Chese Masanja...
View ArticleWATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI
“BINGWA WA MABADILIKO” au “CHAMPION FOR CHANGE” ni kauli mbio iliyoanzishwa kwenye shindano lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maswala ya wanawake (UN-WOMEN) lenye lengo wa...
View ArticleBENKI KUU YA TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO WAJUMBE KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (katikati) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) (hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki hiyo wakati wa...
View ArticleTAJIRI WA ERNIE ELS DESIGN KUJENGA UWANJA WA GOFU ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo Mkurugenzi wa...
View ArticleMSIBA WA MWANDISHI WA HABARI AMINA ATHUMANI WA GAZETI LA UHURU KISIWANI ZANZIBAR
Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Khamis Said akimfariji Mume wa Marehemu Amina Athumani Toufik Majaliwa alipofika nyumbani kwa jamaa wa...
View ArticleTFF YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI MSIBA WA AMINA ATHUMANI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani kutokana na kifo cha Mwanahabari za...
View ArticleDSTV WAUNGANA NA WANAHABARI WASHUHUDIA UFUNGUZI AFCON
Mkurugenzi wa Multichoiuce Tanzania Maharage Chande akizungumza wakati wa kuwakaribisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbaliu nchini wakati wa ufunguzi wa kombe la mataifa Afrika yanayofanyika...
View ArticleBURIANI AMINA ATHUMAN
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru, Amina Athuman walipokuwa wakioutoa nyumbani kwake Banana, Dar es Salaam leo, kuliingiza...
View ArticleASKARI WA JIJI LA TANGA WANUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WASAFIRISHAJI
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mhina Mustapha Selebosi mwenye miwani na tisheti akizungumza na wasafirishaji wanaofanya shughuli zao kati ya Mombasa nchini Kenya kuhusu kuwataka kuhamia eneo la stendi...
View ArticleMKUTANO MKUU TAFCA KINDONI KUFANYIKA FEB 18
Press Release 16/01/2017 Mkutano Mkuu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) Mkoa wa kisoka wa Kinondoni utafanyika Februari 18 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika ukumbi...
View ArticleWAMBURA ATOA WITO VIJANA KUIGA MFANO WA CECILIA GODFREY
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (katikati) akiongea na Waandishi wa habari huku akiwasisitiza Vijana kuiga mfano bora aliofanya Mrembo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA MGENI RASMIMAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA KICHINA
NA Daudi Manongi - MAELEZOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina yatakayofanyika katika...
View ArticleSERIKALI YATENGUA MWONGOZO WA MATUMIZI YA MIHURI YA SERIKALI ZA MITAA
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO Serikali imesitisha waraka wa muongozo uliotolewa kuhusu matumizi ya mihuri kwa wenyeviti wa Mitaa na vijiji mpaka pale itakaposhirikiana na kukubaliana namna bora ya...
View ArticleBONDIA MFAUME MFAUME AENDELEA KUJIFUA KWA AJILI YA KUMKABILI MUDY MATUMLAS...
Bondia Mfaume Mfaume akiendelea kujifua jana kwa ajili ya kumkabili bondia Mohamed Matumla Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Mfaume Mfaume akitengeneza misuli ya...
View ArticleMRADI WA KUKU WA KIENYEJI WAZINDULIWA MITEJA LINDI
Wakiwa na furaha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa...
View ArticleMABONDIA MBWANA MATUMLA NA MESHACK MWANKEMWA WATAMBA KUWADUNDA WAPINZANI WAO...
Bondia Mbwana Matumla kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Said Abdulghafoor wakatio wa mazoezi ya Matumla ya kutambulisha mpambano wake na Seleiman Shabani utakaofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja...
View ArticleBONDIA MESHACK MWANKEMWA AWASILI DAR KUMKABILI RAMA SHAURI
Mabondia Mesharck Mwankemwa wa Mbeya na Mbwana Matumla wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja wa...
View Article