RC KILIMANJARO AZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KANDA YA KASKAZINI
Uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini ulitanguliwa na maandamano yaliyopita katika barabara mbalimbali za mji wa Moshi na kuhitimishwa katika viwanja vya kituo kikuu cha...
View ArticleWANAWAKE NA MAENDELEO FOUNDATION: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WANAWAKE NA MAENDELEO FOUNDATIOND A R ES SALAAM | IJUMAA |DESEMBA 2, 2016TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKatika gazeti la Raia Mwema toleo No 486 la Tarehe 30 Novemba, 2016 kumeandikwa habari yenye kichwa...
View ArticleNMB WADHAMINI MKUTANO WA TBN DESEMBA 5-6, 2016
Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano mkuu wa chama cha Bloggers Tanzania (TBN)...
View ArticleBLOGGERS TANZANIA WAPEWA MAFUNZO YA NAMNA BORA YA UENDESHAJI WA MITANDAO YA...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF...
View ArticleUMEME WA UPEPO KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Rashid Shamte akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuingiza umeme wa upepe kwenye grid ya taifa mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa wadau mbalimbali wa...
View ArticleWAZIRI NAPE AFUNGA MKUTANO MKUU WA WAANDIAHI WA HABARI ZA MITANDAO 'Tanzania...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa Ufafanuzi wakati alipokuwa akieleza namna ya kuitambua mitandao ya Kijamii pamoja na uanzishaji wa Tuzo kwa Waendeshaji mitandao...
View ArticleWANANCHI WA SINGIDA KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME WA UPEPO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa umeme kujadili mkakati ya kuzalisha nishati ya Umeme kwa njia ya Upepo...
View ArticleMKURUGENZI WA JAMII FORUM APANDISHWA KIZIMBANI LEO
Mkurugenzi wa mtandao wa JamiiForum, Maxence Melo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo akikabiliwa na makosa manne likiwemo la kuzuia taarifa za upelelezi kwa jeshi la...
View ArticleCHRISTIAN BELLA AZINDUA VIDEO YA 'GIVE IT TO ME'
Msanii Bell 9 akipozi katika red carpet wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo wake wa Give It To Me.Mgeni Rasmi katik uzinduzi huo Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizungumza katika...
View ArticleTAASISI YA NAMAINGO KUWAKOMBOA WAKAZI DAR NA PWANI KWA MRADI WA SUNGURA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim (kulia0 na Meneja Mradi wa Sungura wa kampuni hiyo, Amos Misinde wakionesha kwa wanahabari, Dar es Salaam jana, baadhi ya sungura 600...
View ArticleMKURUGENZI WA JAMII FORUM APATA DHAMANA
Mkurugenzi wa Jamii Forum Maxence Melo pichani juu amepata dhamana leo baada ya kukamilisha masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili huku kila mmoja alisaini dhamana ya maneno ya...
View ArticleMITANDAO YA KIJAMII KUFUNGWA DRC
Umoja wa Mataifa umebainisha wasiwasi wake kufuatia kutangazwa mpango wa serikali ya Jamhuri ya Kudemokrasia ya Kongo (DRC), kufunga kufunga kitandao ya kijamii kuanzia usiku wa kuamkia...
View ArticleMELO ARUDISHWA URAIANI
Mshtakiwa wa kesi ya kuzuia taarifa ya upelelezi wa Jeshi la Polisi na kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa Tanzania, Maxence Melo akisindikizwa na askari Magereza wakati akiingia katika ya Mahakama...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA TAASISI YA NAMAINGO KUGAWA MRADI WA SUNGURA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akihutubia wakati wa uzinduzi wa kugawa miradi ya sungura kwa wajasiriamali eneo la Majohe, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kampuni ya...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani, Dar es Salaam. Bukuku alifariki juzi baada ya kugongwa...
View ArticleSABODO AMSHAURI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ABADILISHE FEDHA
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Jaffar Sabodo akizungumza jijini Dar es Salaam, kuhusu wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani na kumshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha. (PICHA ZOTE...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE APONGEZA UBORESHWAJI WA HUDUMA ZA MAJI WAMI
MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na wataaluma wa Halmashauri ya Chalinze katika kuboresha mradi wa maji wa Wami kwa ajili ya...
View ArticleKIUNGO WA ZAMANI ATHUR MAMBETA AOMBA MSAADA
Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii.Kiungo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Simba Sports iliyokuwa ikiitwa Senderland ,Athur Mwambeta amewaomba wadau mbalimbali wa mchezo wa soka nchini na Chama...
View Article