YALIYOJIRI MKUTANO WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA YA AFRIKA NCHINI MAURITIUS
Viongozi Wakuu pamoja na Sekretieti ya Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wake, katikati mwenye suti Waziri Mkuu wa Mauritius Sir Anerood Jugnauth. Ujumbe wa Tanzania...
View ArticleTANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA IDADI YA WAGONJWA WA TRAKOMA
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara hiyo Dkt. Magreth Muhando akizungumza kwa niaba ya Waziri Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwenye ufunguzi wa Mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za...
View ArticleTANESCO KUBORESHA KITUO KIKUU CHA KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA ILALA, MAENEO...
NA K-VIS MEDIASHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), linapenda kuuarifu umma kuwa kutakuwepo na katizo la umeme KUANZIA Septemba 3, 2016 kwenye maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kazi...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA JWTZ, JKT MGULANI YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE...
Meja Dora Kawawa wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa 831 KJ Mgulani (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula, Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto wenye shida Kurasini, Beatrice Lawrance, Dar...
View ArticleDC NDEJEMBI AJIONEA KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA CHINI YA KIWANGO
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Mhe Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi waliofika kupatiwa huduma ya afyaMkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Mhe Deogratius...
View ArticleSIRI KUFA KWA MUZIKI WA JAMHURI YA MUZIKI WA KONDO (DRC)
MUZIKI wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), hivi sasa unaonekana kupoteza dira na mwelekeo wake kutokana na wanamuziki wake wakongwe wengi kupoteza maisha huku vijana wakikimbilia muziki na soko...
View ArticleCHUO CHA UDEREVA CHA NYATO'S VHAWATUNUKU VYETI MADEREVA 19 WALEMAVU
Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Ilala, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Peter Mashishanga (kulia), akimkabidhi cheti, Mpoki Mwasunga, baada ya kuhitimu mafunzo ya udereva ya mwezi mmoja katika...
View ArticleRAIS MAGUFULI ALIPOHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA DEMOKRASIA ZANZIBAR JUMAMOSI
Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3,...
View ArticleSTARTIMES KUONYESHA MICHUANO YA ULAYA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018
Na Dotto MwaibaleMATAIFA 54 ya Barani Ulaya siku ya Jumapili hii yatashuka dimbani katika harakati za kuwania nafasi ya kufuzu ili kuungana na mwenyeji nchi ya Urusi katika michuano ya kombe la dunia...
View ArticleRC KILIMANJARO AINGILIA KATI SUALA LA WANAFUNZI KUPEWA MIMBA
Paul Mruma, Rombo. Sakata la Wanafunzi 60 wa shule za Sekondari wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kupewa mimba ndani ya Januari hadi Agosti mwaka huu limechukua sura mpya baada ya mkuu wa mkoa wa...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA PILI WA NCHI 7 ZA AFRIKA MASHARIKI DHIDI YA...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kupambana na Trakoma (ITI) akizungumza na washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma...
View ArticleDIANA EDWARD NDIYE LETE RAHA MISS KINONDONI 2016
Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward ndiye huyu hapa. Lete Raha Miss Kinondoni 2016, Diana Edward (katikati), akipunga mkono baada ya kutangazwa kuwa mshindi Dar es Salaam jana. Kulia ni mshindi wa...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULIAPOKELEWA KWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka...
View ArticleMAADHIMISHO MIAKA 52 YA JWTZ, JKT MGULANI WATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO KURASINI
Meja Dora Kawawa wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa 831 KJ Mgulani (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula, Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto wenye shida Kurasini, Beatrice Lawrance, Dar...
View ArticleBENKI YA DHAMINI SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI MUZIKI WA INJILI
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Benki ya Maendeleo, Peter Tarimo akisaini mkataba wa udhamini wa shindano la Gospel Star Search (katikati) huku meneja wa Mrado huo wa GSS, Samwel Sasali (kushoto)...
View ArticleBONANZA LA SONGAS LILIVYOFANA, WAHAMASISHA MICHEZO ,USAFI NA AFYA BORA
Mechi mbalimbali zikiwa zinaendelea katika Bonanza hilo ambalo lilikuwa na lengo la kuhamasisha Michezo, usafi na Afya Bora Baadhi ya watu wadogo kwa wakubwa wakiendelea kufuatilia Bonanza hilo kwa...
View ArticleWATOA TAARIFA ZA UHALIFU WAANZA KULINDWA
Mkurugenzi Msaidizi Utekelezaji wa Katiba kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Kamana Stanley akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kuanza kutekelezwa kwa Sheria ya...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI AWAFUTA MACHOZI WAKAZI MAGOMENI KOTA JIIJINI DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akizungumza na wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika nyumba za Magomeni Kota ambazo zilivunjwa kupisha ujenzi wa nyumba...
View ArticleACT:KATIKA KIPINDI CHA MIEZI SITA UCHUMI WA NCHI UMEOUNGUA KWA 4%
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa tamko la kamati kuu ya chama hicho baada ya...
View ArticleTACAIDS YAWATAKA WADAU KUJIKITA KATIKA TAFITI ZA KUPAMBANA NA UKIMWI
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Leonard Maboko akizungumza na wadau mbalimbali walio katika Mapambano dhidi ya Ukimwi leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi huyo amekutana na wadau hao kwa mara ya...
View Article