NYUNDO NA WENZAKE JELA MAISHA KWA KUBAKA NA KUMLAWITI BINTI WA YOMBO
Watuhumiwa Nyundo na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kumbaka na kumuingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya, Jijini Dar es Salaam wamehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na...
View ArticleWASHIRIKI 280 KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA MABUNGE NCHI WANACHAMA WA CPA KANDA...
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika Ndugu Daniel Eliufoo akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha kuhusu Mkutano...
View ArticleWAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE
Muonekano wa lango la kitalii la kisasa lililojengwa katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (Katikati)...
View ArticleRAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KITABU CHA HAYATI EDWARD SOKOINE
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na familia ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baada ya kuzindua kitabu hicho. Rais...
View ArticleDKT. NATU AKUTANA NA UJUMBE WA IMF, WB NA COMSEC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) akiagana na Naibu Mkuu Divisheni, Divisheni ya Fedha za Serikali, Idara ya Takwimu, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Andrew...
View ArticleJKT RUVU WILDLIFE KUMLETA MFALME WA NYIKA SIMBA-MEJA KUWASSA
Meja Seif Hassan Kuwassa wa Kikosi Cha JKT Ruvu 832,Kilichopo Mlandizi Mkoani Pwani pichani juu akifurahia na Pundamilia.kwenye bustani hiyo.Uongozi wa Bustani ya wanyamapori ya JKT Ruvu 832 iliyopo...
View ArticleAINA MBILI MPYA ZA KAHAWA YA TANZANIA YAZINDULIWA JIJINI TOKYO, JAPAN
Afisa Mwandamizi Masuala ya Uchumi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japan Bi. Edna Dioniz Chuku, aliyemwakilisha Balozi Baraka Luvanda katika Hafla ya Uzinduzi wa aina mpya mbili za kahawa ya Tanzania...
View ArticleWATAALAMU WA MAABARA TOENI MAJIBU SAHIHI KUWASAIDIA WATANZANIA - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko.(Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati)Naibu Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Wataalam wa...
View ArticleDKT. NCHEMBA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA...
Kikao kikiendelea kati ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, ambaye alifika Ofisi za Hazina Jijini Dodoma...
View ArticleRAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI MBALIMBALI IKULU
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi Wakuu wa Makampuni mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam 03,Oktoba, 2024.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kwenye...
View ArticleTANDAU AFUNGA MAFUNZO YA JUDO FILBERT BAYI
Wahitimu wa mchezo wa Judo wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa TOC Meja Mstaafu wa JWTZ Filbert Bayi ,Mgeni rasmi Makamu wa Rais TOC Henry Tandau.Makamu wa Rais TOC Henry Tandau akimkabidhi...
View ArticleUTU RUN YAFANA VIWANJA VYA FARASI OYSTERBAY DAR
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wameichangia Taasisi ya Utu Kwanza Mil.2 ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za Taasisi hiyo kutoa msaada wa Kisheria kwa wananchi walioko Mahabusu na Magerezani...
View ArticleUDINI NI HATARI, KUCHOMA NGUO NI UTOTO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza...
View ArticleMSOMERA NI SALAMA ATAKAYE NA AJE - WAKILI MSANDO
Na Mwandishi wetu Handeni Tanga.Mkuu wa wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Mhe. Albert Msando amewahakikishia wananchi wanaoishi Tarafa ya Ngorongoro na wanataka kuhamia katika kijiji cha Msomera kutokuwa...
View ArticleTPW YATOA GARI NCAA KWA AJILI YA KUZUIYA MIGOGORO KATI YA WANYAMAPORI WAKALI...
Na Mwandishi wetu, Karatu.Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imepokea gari aina ya Toyota Land Cruiser- Pick up kutoka Asasi ya watu na Wanyamapori Tanzania (TPW) kwa ajili ya kukabiliana...
View ArticleKIUATILIFU CHA KUANGAMIZA WADUDU DHURIFU THURISAVE-24CHAZINDULIWA BIOTECH
Waziri Wa Wizara ya Kilimo Hussein Bashe amezindua kiuatilifu hai cha kuangamiza wadudu dhurifu kwenye mazao kilichotambulika kama Thurisave-24Uzinduzi huo umefanyika kwenye Kiwanda Cha...
View ArticleRAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA
Naibu Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia amefanya mapinduzi katika sekta ya afya katika muda mfupi ikiwa ni pamoja kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU, IBI ZASAINI MAKUBALIANO
Mtaalam wa Kujenga Uwezo kutoka Taasisi ya Mpango wa Biashara wa Kimataifa (IBI), Bi. Amtonga Amani akisaini makubaliano kati ya taasisi hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kuhusu...
View ArticleRAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Oktoba, 2024.
View ArticleRENMIN NA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE WASAINI MKATABA WA...
Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere imeingia makubaliano kwa mara ya pili ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Renmin cha China katika nyanja za mbalimbali zikiwemo za mafunzo utafiti na kubadilishana...
View Article