ZAINA FOUNDATION HELP WOMEN TO ICREASE KNOWLEDGE IN CYBER SECURITY
Zaituni explained about password manager and how it can helps to secure password, and reuse one password for many accounts and how to create strong password.Zaituni facilitated about Mobile Safety:...
View ArticleINTERNET GAME CHANGERS – TRUE REVOLUTION IN TANZANIA
Sometimes it can be painstaking when searching for the right Internet Service Provider (ISP) and your choice can make an enormous difference in your online experience – choose the right one and you are...
View ArticleCHUO KIKUU MZUMBE KUENDELEA NA ZOEZI LA USAILI WA WANAFUNZI
CHUO KIKUU MZUMBE KUENDELEA NA ZOEZI LA USAILI ...
View ArticleCHUO KIKUU MZUMBE WAMUENZI BABA WA TAIFA HAYATI MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyika jana...
View ArticleTAKUKURU KILIMANJARO YAMSHIKILIA DAKTARI WA HOSPITALI YA RUFAA YA...
.Anaandika Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU)mkoani Kilimanjaro,imemtia mbaroni Daktari wa Hospital ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro...
View ArticleHAYA NDIYO MAAJABU YA KIMONDO CHA MBOZI KILICHOPO MKOANI SONGWE, NAIBU WAZIRI...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa pili kulia) akiwa ameshikilia kivutio cha utalii cha Kimondo leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika kijiji cha Ndolezi wilaya ya Mbozi...
View ArticleWANANCHI KUHUDUMIWA BURE BUGANDO JIJINI MWANZA
Habari na Binagi BinagiWananchi jijini Mwanza wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye "Kongamano la Watoa Tiba kwa Vitendo", litakalofanyika kwenye viwanja vya Hospitali ya Kanda Bugando kuanzia...
View ArticleWAKAAZI WA ARUSBA WATAMBULISHWA BIDHAA BORA ZA UMEME JUA umeme (SOLA)
Mkazi wa Arusha Mzava Nsanjiwa akitazama jiko linalotumia nishati ya jua katika banda la Kampuni ya Sola ya Sunking katika maonyesho yaliyofanyika kwa ajili ya kuhamasisha wakaazi wa Arusha kutumia...
View ArticleHOW 4G INTERNET EXPAND IN TANZANIA
For years development has brought us better lives through easing the way we live and work. Little over 20 years ago, Tanzanians could not have imagined that travelling from one corner of Tanzania to...
View ArticleCHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI-MWEKA KUANZA KUTOA MAFUNZO MAALUM KWA WATOA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya silaha...
View ArticleUMEME MEGAWATI 30 KUINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA DESEMBA 7, 2017, NI...
WAKANDARASI wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea kuchapa kazi ili kukamilisha hatua ya kwanza ya ujenzi wa mitambo Kinyerezi II jijini Dar es Salaam, ambapo kwa...
View ArticleANAYETAJWA KUWA MMILIKI WA SHULE YA SEKONDARI YA SCOLASTICA YA MKOANI...
Mahakamani ya Hakimu mkazi ,Moshi.Anayetajwa kuwa mmilikiwa wa shule ya sekondari ya Scolastica,Edward Shayo akifikishwa katika mahakamani ya Hakimu mkazi ,Moshi.Anayetajwa kuwa mmiliki wa shule ya...
View ArticleTIMU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOANI IRINGA (IMFC) YAINGIA KAMBINI
p TIMU ya waandishi wa habari wa mkoani Iringa imeingia kambini kujiwinda na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha....
View ArticleVIDEO: SERIKALI YAMPA SIKU 100 MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI MRADI WA MAJI...
SERIKALI YAMPA SIKU 100 MKANDARASI KUKAMILISHA ...
View Article