NIMEFANYIWA UPASUAJI MARA TISA LAKINI BADO WATANZANIA NISAIDIENI
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo,Kwa majina Naitwa Exaud Mtei,Mwandishi wa Habari nchini Tanzania,kwa Masikitiko makubwa Imebidi niwe Balozi wa Kusambaza Ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu...
View ArticleBONANZA LA KWAYA ZA VIJANA KUTOKA KWAYA MBALIMBALI LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Kikosi cha kwaya ya Usharika wa Mabibo (waliovaa jezi za Dark Blue) na kwaya ya Usharika wa Kinondoni (waliovaa jezi nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanzaMpira ukiwa unaendelea...
View ArticleZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU Na Husna Saidi MAELEZOFilamu 23 za Kitanzania zimefanikiwa kushinda kinyang’anyiro cha filamu bora 132 zitakazoonyeshwa katika tamasha la Nchi za Jahazi linalotarajia...
View ArticleRC MAKONDA AKABIDHIWA MWENGE WA UHURU
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul C. Makonda (Kushoto) akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi (Kulia) katika dhifa ya Makabidhiano iliyofanyika eneo la Kongowe Shule...
View ArticleUNESCO, GPF WAWAJENGEA UWEZO CHUO CHA MWL. NYERERE
Muandaaji wa Semina hiyo iliyofanyika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere na Mwenyekiti wa UNESCO Youth Forum Frank Joash akieleza namna ambavyo vijana wanaweza kujiunga katika programu mbalimbali za Umoja...
View ArticleMALINZI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI SIMBA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu rambirambi kwa Rais wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Evans Aveva kutokana kifo cha shabiki wa timu hiyo, Shose...
View ArticleUMOJA WA ULAYA KUSHINDANISHA VIJANA WA TANZANIA
Kutoka kulia ni Mratibu wa Tamasha la Umoja wa Ulaya Mosse Sakar katikati Ofisa Uhusiano wa Umoja wa Ulaya Sara mbise na Ofisa Mawasiliano na Uhusiano Bodi ya Filamu nchini Tanzania wakizungumza na...
View ArticleUMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM WAPAMBA MOTO
Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam N Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa UMISSETA Mkoa wa Dar es salaam katika Uwanja wa Uhuru.Mkurugenzi wa Manispaa ya...
View ArticleKAMPUNI YA BIMA YA BRITAM TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA BIMA YA AFYA
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Britam-Tanzania, Stephen Lokonyo akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa bima ya afya hapa nchini. Katikati ni Mkuu wa...
View ArticleJUMIA TRAVEL YAZINDUA RIPOTI YA UTALII BARANI AFRICA
JUMIA TRAVEL YAZINDUA RIPOTI YA UTALII BARANI AFRIKA Kuzidi kuongezeka kwa watumiaji wa intaneti barani Afrika na kufikia zaidi ya milioni 300 ambayo kiuwiano kwa ueneaji wake ni sawa na 27.7% ni...
View ArticleMWANAMUZIKI TONGOLANGA AZIKWA NYUMBANI KWAO MCHICHILA TANDAHIMBA
Halila Tongolanga amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mwanamuziki wa siku nyingi na alifahamika kwanza kwa wengi baada ya kuanza kusikika kibao chake cha lugha ya Kimakonde cha...
View ArticleBULEMBO AFUNGA KAZI WILAYANI MISENYI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Misenyi, Mabalozi,...
View ArticleSHILAWADU NGOMA MPYA YENYE MAHADHI YA MDUARA KUINGIZWA SOKONI
'Shilawadu’ ni ngoma mpya kabisa ya mduara ambayo wiki hii imeachiwa rasmi kutoka kwa msanii anayekuja juu kwa kasi ya ajabu, Shania Kabeya. Studio ya 442 Music iliyoko Karakata, Kipawa, Jijini Dar es...
View ArticleMSANII IRENE VEDA AUKWAA UBALOZI WA BODI YA TAIFA UTALII YA UTALII (TTB)
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) Akimkabidhi mkataba Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda mara baada ya kusaini.Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya...
View Article