KIPINDUPINDU CHAPIGA CHAUA MMOJA WENGINE 12 WALAZWA HOSPITALI JIJINI DAR ES...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Na Dotto MwaibaleWAKATI Jiji la Dar es Salaam likiwa katika mapambano ya kukabiliwa na dawa za kulevya jiji hilo limekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu...
View ArticleBURIANI BLOGGER CHINGAONE
Aliyewahi kuwa muendeshaji wa Blog ya Chingaone Jeniffer Livigha amefariki dunia leo.Katika enzi za uhai wake marehemu licha ya kuwa Blogger pia alikuwa mwajiriwa wa kituo cha kulelea watoto yatima cha...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENIFFER LIVIGHA
Pichani Mpendwa wetu Jennifer Livigha aliyekuwa Mmiliki wa Libeneke la Chinga One na Mwanachama wa TBN Enzi za uhai wake. Marehemu alizaliwa 25.01.1979 Nachingwea, alifariki nyumbani kwake kinyerezi...
View ArticleSBL YAANZA KUUZA BIA KENYA
Kwa mara ya kwanza, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeanza kuuza nje ya nchi bidhaa zake katika soko la kikanda, eneo la kwanza likiwa ni nchi jirani ya Tanzania kwa upande wa Kaskazini,...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT.KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Kupendekeza Namna Bora ya Kugharamia Fursa za ELimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt....
View ArticleTPDC WATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI NJOMBE ,RUVUMA NA IRINGA
Wanahabari mkoa wa Iringa walioshiriki warsha ya siku moja ya gesi asilia wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela wa tatu kutoka kushoto na wawezeshaji wa...
View ArticleRAIS MSTAAFU ALHAJ ALLY HASSAN MWINYI ALIPOHUDHURIA SHEREHE YA MIAKA 56 UHURU...
Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya...
View ArticleSERIKALI YATOA WITO WANANCHI KUNUNUA KAZI ZA WASANII
Serikali imewataka wananchi kuanzisha desturi ya kununua kazi za wasanii, kwakuwa ndiyo njia pekee inayoweza kuwanufaisha kwa kazi wanazozifanya. Wito huo umetolewa wiki hii na Katibu Mkuu Wizara ya...
View ArticleWATANZANIA WEKENI KISWAHILI KWENYE ROHO ZENU
Na Immaculate Makilika- MAELEZO Serikali imesema inatamani kuona watanzania wanakiweka kiswahili kwenye roho zao kwa kufikiri na kuzungumza lugha hiyo katika maeneo na shughuli mbalimbali za kitaifa na...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS ALASSANE OUATTARA JIJINI...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 23Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ivory Coast, Mhe. Alassane Ouattara...
View ArticleWAZIRI NAPE AFUNGUA MICHUANO YA STAND CHARTERED
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiongea na wageni waalikwa pamoja na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa...
View ArticleASHINDA GARI DROO YA ENHANCE AUTO TANZANIA LIMITED
Mstahiki Meya wa Kinondoni , Banjamin Sitta, jana alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla droo ya kwanza ya Kampuni ya magari Enhance Auto Tanzania na Kampuni mama Enhance Auto Japan. Hafla hiyoo...
View ArticleTAKWIMU ZINAZONESHA HALI YA UZAZI SALAMA TANZANIA
Karibia wanawake 67,000 walitibiwa katika vituo vya afya kwa ajili ya matatizo yanayotokana na utoaji mimba usio salama kwa mwaka 2013 nchini Tanzania. Hata hivyo, karibu wanawake wengine 100,000...
View ArticleMEYA ILALA AFUNGUA RASMI DARAJA LA BONYOKWA
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akihutubia wananchi baada ya kufungua rasmi daraja linalounganisha Kata ya Bonyokwa na Kata ya Kinyerezi katika Manispaa ya Ilala,...
View ArticleTNRF YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA ARDHI
Kamishna wa Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mary Makondo(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati wa ardhi hapa nchini Tanzania ambao utajumuisha...
View ArticleKUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ,WANAWAKE WAHAMASISHWA KUPIMA AFYA ZAO
Na Woinde Shizza,ArushaWanawake wote hapa nchini wametakiwa kujijengea tabia ya kupima afya zao mara kwa mara ili kuweza kujua matatizo ya mwili waliyonayo na kuyatatua kabla ya madhara makubwa...
View ArticleNAPE AFUNGA FAINALI KOMBE LA ULEGA MKUNGANGA
Baadhi wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani wakishiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega.Baadhi wa...
View ArticleWABUNGE WATATU WAPAMBANA KONGAMANO LA MUZIKI JIJINI DAR ES SALAAM
Mbunge na Katibu Mkuu Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Amina Nassoro Makulagi (kulia), akizungumza katika Kongamano la Siku moja la wadau wa muziki nchini lililoandaliwa na...
View ArticleMAKONDA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Na Immaculate Makilika- MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 Mwaka huu,...
View Article