Quantcast
Channel: BONGOWEEKEND
Browsing all 1915 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI UWT MKOA WA DAR ES AWANYOOSHEA KIDOLE WALIOKISALITI CHAMA WAKATI...

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Janeth Massaburi, akizungumza na wanawake wa umoja huo wa Wilaya ya Ilala Dar es Salaam jana katika mkutano wa kuwashukuru kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA DUKA LA MSD WILAYANI CHATO

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD),  Laurean Bwanakunu (kushoto), akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya Waziri Mkuu hajafungua duka la dawa la MSD Wilayani Chato juzi.Waziri Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

▶ Show quoted text

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AZUNGUMZA NA MAOFISA WATENDAJI NA WENYEVITI WA JIJI LA DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira. Katibu Tawala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANI HAPPY WITH IMPLEMENTATION SPEED OF THE PROPOSED CONSTRUCTION OF...

By Sultani KipingoTanzanians are happy with the implementation speed of the proposed construction of the Tanzania-Uganda crude oil pipeline which is expected to start in August this year, and will be...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA YAANDAA CHAKULA CHA USIKU KWA WAHARIRI KWA VYOMBO VYA HABARI...

-- Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) mara baada ya kuwapa zawadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA MAKAMPUNI YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mchezaji Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka  Kambili John wa Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE),...

View Article

STARS YAWASILI D'JAMENA

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kundi la kwanza limewasili salama jijini D’jamena nchini Chad tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu...

View Article


TWIGA YATOKA SARE NA MIGHTY WARRIORS

Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Twiga Stars’ imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji Zimbabwe ‘Mighty Warriors’ katika mchezo uliochezwa jioni ya leo katika uwanja wa Rufaro...

View Article


Article 3

-- Regards BY: Elimtaa Media, Headquarter Njombe Tanzania web; www.eliab.blogspot.com Email; furahanews1@gmail.com furahanews@gmail.com Facebook; https://www.facebook.com/elimtaamedia Twitter;...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABONDIA KUPIMA UZITO MANGO GARDENI JUMAMOSI KWA AJILI YA KUCHEZA MARCH 27...

Na Mwandishi WetuMABONDIA waendelea kutambiana kuelekea mpambano wao wa Pasaka march 27 uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam akizungumzia mpambano uho mratibu wa pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D'...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER D AENDELEA KUWANOWA VIJANA KATIKA MCHEZO WA MASUMBWI

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwafundisha jinsi ya kutupa makonde mabondia Isihaka Lusinde  wa pili kushoto, Castory Manjulungu na Miraji Issa wakati...

View Article

VIDEO MPYA YA MSANII AMINI

-- Ahmad Issa Michuzi Editorial Director P.O BOX 9033, DAR ES SALAAM. issamichuzi.blogspot.com www.michuzijr.blogspot.com othmanmichuzi.blogspot.com Phone:0713 422 313/ 0783 422 313 Tanzania- East...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE JIJI LA DAR ES SALAAM LAPATA MEYA

Mbunge wa Viti Maalum Kinondoni Mhe. Susan Lyimo(Kushoto)   kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA pamoja na Mbunge wa  Jimbo la Kawe Mhe.Halima Mdee  (CHADEMA) wakifuatilia zoezi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC WA DAR ES SALAAM APOKEA MSAADA WA MADAWATI 500 YA SHULE ZA MSINGI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez mara baada ya kuwasili Shule ya Msingi ya Kawawa iliyopo Manispaa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARTIMES YAKABIDHI MIMI PADS 180 KWA WAZIRI NAPE NNAUYE KURAHISISHA UTAFITI...

 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa Na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (wa pili kulia) akipokea moja ya Mini Pads 180 kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Bw. Lanfang Liao (wa kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA WAADHIMISHA SIKU YA MAJI DUNIANI

Jana wakimbizi kutoka katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma waliungana na watu wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni maji safi kwa...

View Article


TCRA WANANCHI WATOE MALALAMIKO SEHEMU HUSIKA

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi wenye malalamiko yanayohusu huduma zitolewazo na makampuni ya simu kutosita kupeleka malalamiko yao kwenye...

View Article

WAZIRI NAPE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA SARA DUMBA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ametuma salamu za rambirambi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAICHAPA CHAD 1 -0 DJAMENA

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imeibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya wenyeji Chad katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja...

View Article
Browsing all 1915 articles
Browse latest View live