Quantcast
Channel: BONGOWEEKEND
Browsing all 1906 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKENYA WAENDELEA KUTAMBA KATIKA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON 2016

Washiriki wa Mbio za Kilometa 42 katika mashindano ya kimataifa ya Kilimanjaro Marathoni 2016 wakianza mbio zao katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) . Mshindi wa kwanza katika Mbio za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SAID MECK SADICK AZINDUA DUKA LA HUAWEI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari juu ya ufunguzi wa duka la simu za mkononi na huduma za matengenezo ya simu Samora jijini Dar es Salaam. Wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA LATEKETEA KWA MOTO

Moto ukiendelea kuteketeza Bweni la Wavulana (Mkwawa ) katika shule ya sekondari ya Iyunga jijini Mbeya ambapo chanzo chake kimetajwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo moto huo ulizuka majira ya saa 3...

View Article

TAS NA UTSS WAMTAFUTA MWENZAO ALIYEPOTEA

Jacquiline Mrisho – MAELEZO. 29/2/2016. Dar es Salaam. Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania (TAS) wameiomba Serikali kuwasaidia kumtafuta Bw. Said Abdalah Ismail (47) mkazi wa Kijiji cha Mbezi...

View Article

FASHION ONE's TRENDS and STYLE COMIN TO DStv

Fashion One launches 1 March across 48 countries in Africa, replacing Fashion TV February 2016 On 1 March 2016, a wealth of ideas, trends and creativity will be coming to subscribers with the launch...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUMI KUPIGWA BAGAMOYO MARCH 5 UKUMBI WA TASUBA

Na Mwandishi WetuBONDIA Seba Temba wa kg 66 kutoka mkoa wa Morogoro anatarajia kupanda ulingoni march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo kupambana na mkali wa mkoa huo wa Pwani Iddi Pialali mpambano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA TANZANIA KUTANA NA WADAU NA KUTOA ELIMU YA SHERIA KWA WANANCHI

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bw. Hussein Katanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Mrejesho wa Wadau walioshiriki katika utoaji wa Elimu ya Sheria kwa wananchi  Februari 1 hadi 3, 2016...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI :DIRA YA MTANZANIA MUOMBENI RADHI KATIBU MKUU KIONGOZI OMBENI SEFUE

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IDARA YA HABARI -MAELEZOP.O. Box 8031, Dar es Salaam, Tel: 2110585, 2122771/3, Fax: 2113814, e-mail: maelezo@habari.go.tz Tarehe: 01/03/2016 Waandishi wa habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPB YATOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA SACCOS KIGOMA

Katika jitihada za kuwafikia Watanzania wengi zaidi na kuwawezesha kiuchumi,Benki ya Posta Tanzania (TPB) imekabidhi mikopo kwa vikundi viwili vya SACCOS ambavyo ni TWCC Women SACCOS na Ishimwe Saccos...

View Article


WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YAKUSANYA MAONI KUHUSU...

HABARI Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo kupitia Idara ya Maendeleo ya Michezo, inapenda kuwafahamisha wananchi kwamba imefanya mabadiliko ya Sera ya Michezo ya mwaka 1995 na sasa itatoa sera...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAPCO ILIVYOWABEBA WALEMAVU MBIO ZA KILIMANJAROMARATHON 2016

Washiriki wa mbio za Km 10 upande wa walemavu wakijiandaa kushiriki mbio hizo zinazodhaminiwa na kampuni ya GAPCO.Mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO HALF MARATHON YAVUNJA REKODI YA WASHIRIKI

Washiriki zaidi ya 4000 wakiwa wamejitikeza kushiriki mbio za "Tigo Half Marathoni " km 21 ikiwa ni rekodi mpya tangu kuanza kwa mbio za Kilimanjaro Marathoni.Raia wa Kigeni wakipiga serfie kabla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUM KUPIGWA MWANANYAMALA MARCH 3

Na Mwandishi WetuMABONDIA mbalimbali wanatarajia kupmbana siku ya Alhamisi ya March 3 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar Es Salaamakizungumza wakati wa utambulisho wa mpambano uho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DVD ZA NGUMI KALI ZINAPATIKANA KWA SUPER D

DVD ZA MABONDIA HATARI DUNIANI VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDI PIALALI AKAMIA KUMSAMBARATISHA SEBA TEMBA BAGAMOYO MARCH 5 UKUMBI WA TASUBA

Na Mwandishi WetuBondia Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo mkoa wa Pwani ametoa onyo kali kwa bondia Seba Temba kutoka Morogoro kuwa yeye sio njia ya kupita kwa kuwafata mabondia a juu hivyo atakikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu bei kikomo za mafuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA LAPF KUFANYIKA AICC ARUSHA

 Viongozi meza kuu. Meneja Masoko na Mawasiliano Mfuko wa Pensheni wa LAPF  James Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana  kuhusu mkutano mkuu wa nane wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGIA DAMU KWA HIARI

 Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kushoto), akifanyiwa vipimo na mfanyakazi wa Maabara ya Muhimbili, Bi. Kibuna Mohammed (kulia) wakati wa zoezi la kuchangia damu lilioratibiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMLAKI RAIS MUSEVENI WA UGANGA JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiongea na wanahabari mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI WALALAMIKIA KUFUNGWA KWA MATAWI WA CHUO KIKUU CHA ST. JOSEPH

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.BAADHI   ya wazazi wa wanafaunzi waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu cha St Joseph katika  matawi ya Arusha na Songea wametupa lawama kwa Tume ya vyuo...

View Article
Browsing all 1906 articles
Browse latest View live