BONDIA IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KUMKABILI JOSEPH SINKALA MARCH 12 DAR LIVE
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Maokola anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa atakaozipiga na Joseph Sinkala march 12...
View ArticleMRAMBA, YONA WAENDELEA KUSAFISHA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA JIJINI DAR ES...
Waziri wa Fedha wa zamani, Basil Pesambili Mramba (kushoto), akijipangusa jasho wakati akienda kusaini fomu kwa Ofisa Afya Mazingira wa Hospitali ya Serikali ya Sinza Palestina, Miriam Mong (kulia),...
View ArticleSUPER D ATOA SADAKA WA NIABA YA BONDIA OMARI KIMWERI WA AUSTRALIA
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Deer Park, Victoria, Australia mtoto...
View ArticleMASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAMALIZIKA LEO TANGANYIKA PACKERS
Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili...
View ArticleZIFF INVITES MUSICIANS AND PERFORMIN ARTISTS
The Zanzibar International Film Festival Music Programme Calls for Performing Artists ZIFF is East Africa’s largest film, music and arts festival, bringing together talent from all over the world for a...
View ArticleMBUNIFU NA GWIJI WA MITINDO ASIA IDAROUS AFANYA MAHOJIANO BBC LONDON
Mtangazaji idhaa ya Kiswahili BBC London Maryam akimfanyia mahajiano nguli wa mitindo Bi. Asya Idarous Khamsin jijini London siku ya Ijumaa Februari 12, 2016 mahojiano maalum kwa ajili ya Lady in Red...
View ArticleBASATA YAUPIGA MARUFUKU WIMBO WA SHIKA ADABU YAKO WA NEY WAMITEGO
National Arts Council BASATA 12/02/2016 PRESS RELEASE BASATA YAUPIGA MARUFUKU WIMBO WA SHIKA ADABU YAKO WA MSANII NAY WA MITEGO Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘Shika...
View ArticleIBROZAMA AACHIA YOU AND I SPECIAL KWA VALENTINE'S DAY
Happy Valentine’s Day. Siku ya wapendanao hainogi bila kuwa na maua makundu na muziki mzuri wenye ujumbe mahsusi. Wakati ukiitumia siku ya leo kuimarisha upendo wako na yule umpendaye, Beka Ibrozama...
View ArticleSACIDS, OHCEA ZAWAKUTANISHA WATAALAMU WA AFYA KUJADILI MPANGO KAZI KWA PAMOJA
Dk. Deo Mtasiwa Naibu Katibu Mkuu wa Afya TAMISEMI akizungumza katika mkutano wa Afya Moja ulioshirikisha wadau mbalimbali wa Afya ya Mifugo, Binadamu na Mimea kutoka katika vyuo mbalimbali hapa...
View ArticleFAHAMU JINSI RADIOTHERAPIA INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YAKO
Dk. Mahadev, mshauri mwandamizi wa radiotherapia kutokaHospitali za Apollo.Na Mwandishi wetu,Matibabu ya kawaida ya saratani huwa yanahusisha upasuaji, radiotherapia na kemotherapia. Hivi karibuni...
View ArticleZANTEL YAKABIDHI FEDHA ZA KUNUNULIA VITABU MAKTABA ZANZIBAR
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia)....
View ArticleUFISADI WA MILIONI 20 WAZUA TAFRANI MSIKITINI JIJINI DAR ES SALAAM
Waumini wa dini ya Kiislam wakizozana nje ya Msikiti wa Masjidi Pelapela uliopo eneo la Mtakuja Vingunguti jijini Dar es Salaam katika swala ya Ijumaa leo mchana, baada ya kutokea tafrani ya waumini...
View ArticleNAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI AJITAMBULISHA ZANZIBAR
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Masauni alipofanya ziara katika Jeshi hilo Zanzibar kujionea Utendaji wake akiwa...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI OMBENI SEFUE AKITOA TAARIFA SIKU 100 ZA RAIS DK. JOHN...
LINK: https://soundcloud.com/issamichuzi/balozi-ombeni-sefue-siku-100-za-rais-magufuli-feb-122016
View ArticleWASEMAVYO WADAU KUHUSU SIKU YA WAPENDANAO
Na Mwandishi wetu Washington Kila ifikapo tarehe 14 Februari nchini Marekani na sehemu nyengine Duniani husherehekewa Siku Ya Wapendanao "Valentine's Day", au kama ijulikanavyo kwa jina jengine "Siku...
View ArticleMWANAMKE ALIYEPAMBANA NA JAMBAZI ATUNZWA
Mwanamke aliyepambana na jambazi na kufanikiwa kunyang'anya bunduki aina ya SMG, Sophia Manguye (46), amepewa zawadi sh. 500,000 na Kamanda wa Kanda Maalum Polisi Rorya Tarime Gemini...
View ArticleMGODI WA BULYANHULU WAIPATIA MSALALA ZAIDI YA MIL. 700 KWA AJILI YA USHURU NA...
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akikabidhi hundi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Patrick Karangwa,ikishuhudiwa na Mkuu wa wilaya ya Kahama Vita Kawawa(katikati)Baadhi ya wajumbe...
View ArticleMABONDIA SHABANI KAONEKA NA IMANI MAPAMBANO AKUNA MBABE DROO MECH
Yasini Abdallah katikati akiwainua mikono juu mabondia Imani Mapambano kushoto na Shabani Kaoneka baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao uliofanyika siku ya feb 14 katika ukumbi wa musoma bar...
View Article